Utajari wa Muna Love

Kinachowaunganisha ni ‘biashara’. Na huko kwa Yesu ni kivuli tu cha hiyo biashara. Kwa hapo kweli wamekutana. Wote kwenye hiyo game ni makonki. Ila ipo siku Mungu atasikia kilio cha wazazi wanaoteseka na vijana wao.


Shikamoo jimama26
 
Ni kawaida kwa binti mrembo kuwa na maisha mazuri akiitumia rasilimali yake vizuri,hasa kuwakamata wenye pesa wampe maisha mazuri.
 
Binamu kwa taarifa yako muna hizo nguo anapewa bure kwa kuwatangazia mfano yule wit anamtumia so halipwi pesa analipwa nguo hata saloon akienda anasukwa buree halipii msingi kumtangaza msusiii...upoooii
 
Gwajima amebaki kimyaa
Polisi walimaliza mahojiano naye kwani au lilikuwa zengwe kutufanya mabwege Hii inji buana....

Shida ya hawa wanaojiita walokole waongo sana Wanajua wazi wanamtumikia shetani wakitoka oh nimeokaka namjua na kumpokea Yesu....shetani hutumia Biblia hiyo hiyo huliita jina la yesu wa kwao
Mtawajua kwa matendo yao....

Soon and very soon ataanikwa kama mpunga unaosubiri kukobolewa.....
 
Utajiri wa Muna Love au mwengine yeyote yule wewe unakusaidia nini?
 
Naona kaanza biashara za China kama Faiza Ally

Mie namshauri apunguze kujichubua manake siku hizi ngozi yake inakimbilia kufanana na ya papai lililoiva
Mmmh
 
Laiti ungejua mkuu usingeandika haya. Huyu dada anadali dorcas ministries pale kunduch kuna muda alikuwa pia kambeba mke wa rayvanny. Kwa ufupi amefulia basi tu ni vile si vizuri kuanika mambo ya waty hadharani lakini maisha anayo potray ni maigizo 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…