Utajijuaje kama wewe ni bichwa box, empty mind?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,824
Reaction score
4,447

Attachments

  • silhouette-profile-human-head-with-carton-box-vector-illustration-HP147P.jpg
    49.3 KB · Views: 5
Dah ...kuanzisha au kuchangia uzi kama huu ni kipimo tosha kabisaaa..... 🤣 🤣🤣😳😳
 
Nilijijua ni bichwa box pale nilipopewa maswali na majibu ya interview nikakaa nayo siku 4 .Na bado siku ya interview nikala za uso .Wajomba zangu hawana hamu na mimi Tena.
 
Nilijijua ni bichwa box pale nilipopewa maswali na majibu ya interview nikakaa nayo siku 4 .Na bado siku ya interview nikala za uso .Wajomba zangu hawana hamu na mimi Tena.
Duh, Ila uzur kwamba box lak bado unayo nafac ya kulijaza makolokolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: EEX
Pale unapojifaham kwamba nikichwa box lkn unataka nawenzako wajifaham
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…