Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

Utajiri Biashara ya Hardware 5mil Pekee

Biashara

  • Hardware

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2
  • Poll closed .

Mus_musa

Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
9
Reaction score
17
Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki.

Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi.

Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware kuanza kuuza vitu vidogo vidogo vinavyo toka kila siku mfano Vitasa vya mlango, Rangi 5L, Misumali n.k.

lakini pia kuhusu maeneo mtu anapaswa kufanyia ni nje ya town kwa maana watu washazoea kwenda kariakoo kwahiyo ukisema ufungulie maeneo ya karibu na kariakoo inakuwa ngumu kidogo inapaswa kuwa nje kidogo kama Kibaha na kuendelea.

Kwa Town mtu anapaswa kuwa na mtaji mkubwa usiopungua 30mil kwa maana ya Ofice standard na mzigo wa kutosha
Lakini Kuanzia Kibaha na kuendelea usisubiri ifike 10mil au 20mil unaweza kuanza na 5mil upate centre iliyochangamka.

Mjasiliamali
Karibu...
 
Mus_musa ungefafanua hivyo vitu vidogo vidogo kwa mchanganuo wa hiyo 5m, tukushauri
 
Mtaji wa 15M nianze na mzigo gani ambao unatoka sana?
 
Mtaji wa 15M nianze na mzigo gani ambao unatoka sana?

Pita hapa unaweza ukapata idea 👆🏻
 
Back
Top Bottom