Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 30 Reaction score 45 Apr 27, 2024 #1 Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka
Mbeba Lawama JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 1,059 Reaction score 3,504 Apr 27, 2024 #2 Fuga ngurue kama ufungaman na upande wowote
Che mittoga JF-Expert Member Joined Mar 28, 2017 Posts 12,658 Reaction score 16,205 Apr 27, 2024 #3 Ni Mbuzi au Nguruwe kama una eneo kubwa. Hii mifugo inaliwa sana na haina magonjwa mengi. Weka na Bata pembeni.
Ni Mbuzi au Nguruwe kama una eneo kubwa. Hii mifugo inaliwa sana na haina magonjwa mengi. Weka na Bata pembeni.
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 3,249 Reaction score 7,948 Apr 27, 2024 #4 ufugaji unaweza kukutoa ila siyo haraka, kuna mwamba kukushauri hapo juu ufuge nguruwe nakubaliana naye. kama unamtaji na upo pwani au arusha fuga nguruwe kwa wingi, ila tafuta kwanza maarifa usiingie kichwa kichwa.
ufugaji unaweza kukutoa ila siyo haraka, kuna mwamba kukushauri hapo juu ufuge nguruwe nakubaliana naye. kama unamtaji na upo pwani au arusha fuga nguruwe kwa wingi, ila tafuta kwanza maarifa usiingie kichwa kichwa.
Lomaa lolusa Member Joined May 15, 2017 Posts 30 Reaction score 45 Apr 27, 2024 Thread starter #5 Che mittoga said: Ni Mbuzi au Nguruwe kama una eneo kubwa. Hii mifugo inaliwa sana na haina magonjwa mengi. Weka na Bata pembeni. Click to expand... Morogoro itaweza kukuza mbuzi vzur kwel
Che mittoga said: Ni Mbuzi au Nguruwe kama una eneo kubwa. Hii mifugo inaliwa sana na haina magonjwa mengi. Weka na Bata pembeni. Click to expand... Morogoro itaweza kukuza mbuzi vzur kwel
Iyerdoi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 2,717 Reaction score 3,895 Apr 27, 2024 #6 Lomaa lolusa said: Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka Click to expand... Anzisha mfumo wa ufugaji ng'ombe wa kienyeji wa kunenepesha (Feedlot system). Kila baada ya miezi 6 (Sita) unavuna na unaanzisha tena. Kwa mwaka utavuna mara mbili ukilinganisha na mtu wa kilimo cha mahindi atavuna mara moja tu kwa mwaka.
Lomaa lolusa said: Members habari naweza kutajirika kupitia ufugaji na kitu gani Cha kufuga kitakachonitoa haraka Click to expand... Anzisha mfumo wa ufugaji ng'ombe wa kienyeji wa kunenepesha (Feedlot system). Kila baada ya miezi 6 (Sita) unavuna na unaanzisha tena. Kwa mwaka utavuna mara mbili ukilinganisha na mtu wa kilimo cha mahindi atavuna mara moja tu kwa mwaka.
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Apr 27, 2024 #7 Fuga nguruwe