Umenena njema Sana jamaa Yangu. Ebu tusubili maybe kuna mtu atajitokeza aseme kituSeriously, nimeshawahi kwenda kwa mganga mama alikuwa anaumwa sana tukazunguka hospitali zote hawaoni tatizo huku akilalamika miguu inawaka Moto hawezi kutembea na vichomi tumboni.
Tukaelekezwa kwa mganga, kweli alipona kwa mda mchache tu, hata Mimi huwa nashangaa huwa wanatumia nini...maana alimpasua kuku begani akiwa anamuangalia kuku bado anapomua kabisa wakati kapasuliwa vya ndani vyote vinaonekana akawa anaangalia tatizo Mimi natoa mimacho sijui hata kinachoendelea, mwisho wa siku alimuugua vizuri na akapona mpaka leo hajawahi kusumbuliwa na hayo maradhi.
Ni wakati muafaka wa hii elimu kuwekwa wazi sasa
Seriously, nimeshawahi kwenda kwa mganga mama alikuwa anaumwa sana tukazunguka hospitali zote hawaoni tatizo huku akilalamika miguu inawaka Moto hawezi kutembea na vichomi tumboni.
Tukaelekezwa kwa mganga, kweli alipona kwa mda mchache tu, hata Mimi huwa nashangaa huwa wanatumia nini...maana alimpasua kuku begani akiwa anamuangalia kuku bado anapomua kabisa wakati kapasuliwa vya ndani vyote vinaonekana akawa anaangalia tatizo Mimi natoa mimacho sijui hata kinachoendelea, mwisho wa siku alimuugua vizuri na akapona mpaka leo hajawahi kusumbuliwa na hayo maradhi.
Ni wakati muafaka wa hii elimu kuwekwa wazi sasa
π π π π haya sawa mkuuKuna siri nyingi sana kwenye utajili wa mtu na kamwe hakuna tajili atakayekwambia ametembea sehemu flani hiyo hubaki kuwa siri yake tu ila nachoweza kukwambia nyuma ya mafanikio ya mtu kuna siri nyingi sana na usidhani kuna mtu atakwambia ukweli kuhusu utafutaji wake
Kweli dada yake mi nakumbuka niliposota sana kuna jamaa alikua anamiliki fuso anauza vichwa vya kuku na miguu tu ila sasa cha ajabu sijawahi kumuona akivaa viatu na kila nikimdadis anasema ww mtoto mdogo subiri ukue ndio ujue kwanini sivai viatuπ π π
π π π π haya sawa mkuu
Bado anamiliki fuso??utajiri wa namna hyo hauna hata rahaKweli dada yake mi nakumbuka niliposota sana kuna jamaa alikua anamiliki fuso anauza vichwa vya kuku na miguu tu ila sasa cha ajabu sijawahi kumuona akivaa viatu na kila nikimdadis anasema ww mtoto mdogo subiri ukue ndio ujue kwanini sivai viatu
Na ndio mana unapoenda kwa mganga huambiwa upeleke kafara kwa niaba ya mashetani yake na pia hata baadhi ya matibabu huwa ni IBADA kwa ajili ya kuabudu shetani. Matibabu ya namna ya kuzunguka Moto, kwenda makaburini, kutambikia, kuchinja mnyama (kutoa damu kwa mashetani) ,kutoa mtu kafara na kutoa masharti .Ok. Ipo hivi
Kuna uwepo wa Nguvu za kiroho zinazo tuongoza na kuratibu maisha yetu sambamba na jitihada binafsi. Kwa mujibu wa imani kuna nguvu za kimiungu ambazo hupitia namna na njia tofauti kumuendesha mwanadamu. Miunguhiyo huweza kuwa ya Kimizimu au kishetani ukiachilia mbali Mungu anayeaminiwa na dini kwa mujibu wa vitabu vya kidini.
Mganga ni dalali anaefanya kazi kwa niaba na kupata cha juu.
Uganga umegawanyika makundi mawili kundi la kwanza ni watu wakawaida wanaotambua miti ya dawa, jinsi yakuitumia na magonjwa inayotibu. Hawa mara nyingi huwa wanakuwa wameelekezwa na watu na hawajui bali kile walichoelekezwa na hawana vipimo maalum vyakugundua ugonjwa ispokuwa kwa dalili . Kundi la pili ni makuwadi ambao wanatumia Nguvu za kishetani (majini ) ambao wanayapandikizwa au yanawavamia na kutaka wayatumikie. Kundi hili ndio lenye waganga tunaowaita wa ukweli mana wanavipimo na utambuzi wa matatzo yetu kwa nguvu za kishetani. Apa mganga huoteshwa matatzo ulonayo na suluhisho au hupandisha jini lake na kumuelezea mgonjwa kinachomsibu.
Nikweli kabisa waganga wanatibu magonjwa. Bali unapaswa kufahamu yafuatayo
1: mganga hutibu maradhi yenye mahusiano na ushirikina au yanayo tibika kupitia miti shamba.
2: kama shetani linaweza sababisha matatzo katika mwili wa mwanadamu basi ni dhahili kuwa anaweza kuyatibu.
3: mganga hatibu wala haponyi yeye bali ni kwa uwezo wa Nguvu za kishetani.
Hivyo basi unaweza kupata pesa,kupona matatzo au kuwa vyovyote utakavyo kuwa kwa kwenda kwa mganga ila tambua si kwa uwezo wake bali Nguvu wezeshi.
Dah kwa sasa sijui kwa kweli mana ni mda sanaBado anamiliki fuso??utajiri wa namna hyo hauna hata raha