Utajiri ndani ya kilimo cha nanasi Kiwangwa

Ukitoka Mwavi ndio unaingia Kiwangwa na Kiwangwa kwa sasa ipo ndani ya wilaya ya Chalinze.
 
Uliposema mkulima wa nanasi wa Kiwangwa ni rahisi kuwa na magari.

Nimemkumbuka Twaha.
 
Utoke kusafisha meno na mswaki ukiwa umetumia dawa ya whitedent then ukule nanasi 🙆🤭🥴
 
Wa kishua lakin akili mingi za mtaa...blessed dawg!
 
Kwa watu wa mikoani (Kanda ya Ziwa) mbegu inapatikana wapi?
 
Hakuna biashara kichaa kama hii especially ukilima heka chache, mimi nililima kwa kuanzia na ekari 2. Hakuna nilichopata hata kidogo nimetumia muda na pesa sikurudisha hata robo ya pesa zangu. Kifupi tu ni kuwa nanasi zinaiva kidogo kidogo imagine umeweka milion kadhaa then unauza leo elf 17 next week elf 23 siku ingine elf 7 yaani hadi unaona hasira.

Pia zinaweza kaa shamban hata miaka 3 au 5 kule Bagamoyo wanalimia kimazoea hili si zao la biashara ndo maana hata ukiangalia wananchi wa huko ni masikini sana hakuna wanachopata ktk nanasi. Kati ya milioni kama 7 hivi pesa niliyopata hata haifiki milion 2 na hapo ni ndani ya miaka 3 nanasi zilizobaki nimezisusa shamban naona hata zina miaka 5.

NB: Gari haliji shamban kama unalima ekari chache, wale wanunuaji wanaenda sehemu ambayo wanajaza gari kwa mkupuo mmoja we wa ekari chache utaishia wauzia wale wa baiskeli au uvune ukamwage sehemu au upeleke sokon. Katika ukulima wangu woote nanasi ndio zao la kwanza kunipa hasara, sikutegemea ila ndo hivyo nilikula za uso sina hamu mimi.

Nilichogundua waleta mada za kilimo na ufugaji hawalimi wala kufuga, wanafanya mahesabu yao kichwani tu kitu ambacho si sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nichek pm Nina jambo
 
Sasa wewe umepanda mbalimbali hivi, palizi si kila wiki unaingiamo, enewei mimi niko hapa Fukayosi ndio tunapambana na hizi Ngwamba
 
Sasa wew umepanda mbalimbali hivi, palizi si kila wiki unaingiamo, enewei mm niko hapa fukayosi ndo tunapambana na hizi ngwamba
Mungu ni mwema mambo yanakwenda kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…