BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 776
Nimekupata unamaanisha wale wa hand to mouth.., wanapata kidogo sana just to survive....,Lakini hapo umeongelea mtu mwenye income already. You can not save if you dont have. Note that there are other who only meet the breakeven point.
How about those ambao they earn zero but they still have to spend. There are people who are living near nature they dont earn anything but atleast they have to spend something so survive.
What is the principle for them to come out of the abject poverty life.
Wote Mliochangia hapa mko sahihi tu, kila mmoja wenu amejaribu kueleza yale anayoyajua kuhusu mbinu za kupata huo UKWASI.Vivyo nami natoa mchango wangu kiduchu katika mada hii.kama uko na element zifuatazo basi utakuwa uko ktk mkondo mzuri wa kuwa Tajiri;
1.NIA/DHAMIRA
2. BIDII
3. IMANI
4.UAMINIFU
5.MALENGO
6.KUJIFUNZA
7.NIDHAMU
8.MAONO
9.KUJIAMINI
10.MUDA, (TIME MANAGEMENT)
SIPENDI KUTOA UFAFANUZI SANA JUU YA VIPENGELE HIVYO LAKINI NAJUA KWAMBA WAJASIRIAMALI WA KWELI WANAJUA VYEMA NILICHO MAANISHA HAPO.BASI CHUKUA HATUA SASA.HAKIKA UTASHINDA KAMA MIMI NILIVYOSHINDA.HAKUNA KUSHINDWA.NI USHINDI TU KWA KWENDA MBELE.HAKIKA HAKUNA ALIYEZALIWA AMESHIKA DHAHABU MKONONI, AMUA SASA, CHUKUA HATUA SASA.MILANGO YA MAFANIKIO IKO WAZI KWA KILA MTU, ACHA KUSITA SITA CHUKUA HATUA TU.MUNGU AWABARIKI.
mi naona hiyo hapo juu ni theory....in practice, kuspend less than what you earn sio rahisi, unless una earn kiasi cha zaidi ya standard....ila kama kiasi chako hakikutoshi kununua chakula, then there is no point in saving.
kwa hiyo saving ni kwa wale ambao wanaweza kuafford basic needs, halafu wakawa na extra ya kutumia.
Mkuu.Ili kuweza kuwasaidia na wadau wengine nimeweka hapa baadhi ya copy za vitabu kikiwemo hicho cha THE RICHESTMAN IN BABYLON