Utajiri uliojificha kwenye kilimo cha mbegu za mchicha

Mbona kma upandaji wake una kazi sana?
 
Watu wote wakiachana na kilimo cha mahindi na mpunga na kulima mchicha, mbona nchi tutakabiliwa na baa la njaa!
 
Mchicha nao unalimwa kwa space?!!!!
 

Attachments

  • IMG00016_HDR.jpg
    579.9 KB · Views: 34
  • IMG00017.jpg
    528.2 KB · Views: 39
Kiongozi hata usikatishwe tamaa, hili wazo lako linatekelezeka na hata halina shida. ukienda kwenye maduka mengi ya pembejeo, mbegu ya mchicha iliyofungashwa vizuri na kuthibitishwa na TOSC (Mamlaka yenye dhamana ya kusajili na kuthibitisha mbegu) mbegu za mchicha hazipatikani. wauzaji wanachofanya ni kupima kidogo kidogo kiwizi wizi kwasababu hawaruhusiwi. Msomaji wa JF ukielezwa fursa kama hii jiongeze kidogo kwa kutembelea maduka ya pembejeo fuatilia mbegu zinazouzwa utaelewa kabisa kwamba wao ndio wateja wako wakubwa na sio mkulima mmoja mmoja kama wengi wanavyodhani hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…