Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Somo hili limekuja wakati muafaka kabisa, ili kuelewa zaidi Exim bank wameissue bond , kiwango cha chini kuwekeza ni million moja,na 14% interest rate, kwa mtu mwenye fedha iddle aisee kawekeza hutajuta
Ni dhahiri bonds zina security zaidi kuliko ununuzi wa hisa za makampuni
Sia hebu fafanua vizuti hii ya exim bank, nko interested sana kujua, na pengine kuwekeza. Asante
Ni kweli kabisa zina security zaidi lakini kumbuka the higher the risk the higher the return so kwenye bond expect lower return[/quote's]
Kweli mkuu return inakuwa ndogo
Exim bank wameamua kukuza mtaji kwa kuissue bond, na wanahitaji kiasi cha shs 15 billions , mtu yeyote mwenye fedha anaruhusiwa kuwekeza na kiwango cha ching ni million moja kwa riba ya 14% kwa muda wa miaka sita, na riba italipwa kila baada ya mwaka, kwa hiyo ukiweka 1 million utapata 140,000 kila mwaka kwa miaka sita na baada ya six years utarudishiwa million yako, na wamesema hakuna kodi, sasa sijajua kama wanatoa at discount au lah, ndo hivyo baba J , ukitaka kufuatilia kwa taarifa zaidi, nenda DSE au matawi ya exim,