Utajiri uliopo kwenye dhamana za serikali: Sehemu ya II (bonds)

Mada muhimu sana. Naomba mfano wa million 20 kwa miaka 10 na 15. Asante.
 
SALAMA MKUU BADO HUPO HAI MAAN MAISHA YETU TWAYAJUA WENYEWE, UZI UMENISISIMUA BALAA ANY WAYA VIPI YA SHORTTERM KAMA UNAYO FANYA MPANGO NA VIPI KUHUSU hisa na biashara ya fedha za kigeni. NASUBIRIA RESPOND YAKO

 
JPM kazungumzia along the same lines kwa mabenk kufanyia trading pesa za taasis za umma,interesting watu wengi hawana uelewa na aina hii ya biashara,Asante kwa kutujuza
 
Mada nzuri sana hii mara nyingi mashirika binafsi (corporate) huwa yana high return compared na zile za gvt
government securities zinakuwa secure zaidi kuliko mashirika ya uma manake shirika la uma likifilisika na hela yako inakuwa imeenda serikali hipo hata yatokee yaliyotokea ugiriki lazima ikulipe
 
government securities zinakuwa secure zaidi kuliko mashirika ya uma manake shirika la uma likifilisika na hela yako inakuwa imeenda serikali hipo hata yatokee yaliyotokea ugiriki lazima ikulipe

thanks
 
Juzi nimesoma kwenye mwananchi kuwa serikali imeanza kuunza treasury bills and bonds kuanzia 7/12
 
mm naomba kujua zaidi kuhusu hisa na taratibu zake zote na sheria unasemaje????
 
Asante sana mkuu ,niungane na wenzangu pia em tusaidie esabu ya m5
 
Hali ikoje kwa sasa?je hizo bonds zinatolewa wakati wowote au kwa msimu naona hili haliko wazi .
 
Mkuu umetupa mwanga lakini swali langu je? Kati iyo laki moja ni kwa vipande vingapi? Na je? Kuna utofauti gani? Na iyo ya milioni 5
 
Mkuu naomba uwe unanitag kwa post zijazo nimefatili japost ni old post lkn zimenijenga na kunielimisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…