African billionaire
Member
- Jan 19, 2018
- 7
- 2
Kwa mfano: KILIMO kinalipa kwa sababu kila siku lazima wale chakula. Ndo maana hii ni fursa kubwa Africa hata sasa kwa sababu kuna nchi zina uhaba wa chakula.
Ningependa tu-orodheshe kero/matatizo/uhaba wa kitu katika jamii zetu ili iwe fursa kwa mwanaJF atakaesoma Uzi huu
Jinsi ya kuorodhesha: Unataja Kero/tatizo , mkoa na wilaya, na maoni kidogo.
Karibuni.