Utajiri unapatikana kwa kutatua kero/shida za watu.

Joined
Jan 19, 2018
Posts
7
Reaction score
2
Kwa mfano: KILIMO kinalipa kwa sababu kila siku lazima wale chakula. Ndo maana hii ni fursa kubwa Africa hata sasa kwa sababu kuna nchi zina uhaba wa chakula.

Ningependa tu-orodheshe kero/matatizo/uhaba wa kitu katika jamii zetu ili iwe fursa kwa mwanaJF atakaesoma Uzi huu

Jinsi ya kuorodhesha: Unataja Kero/tatizo , mkoa na wilaya, na maoni kidogo.

Karibuni.
 
Subscribe to support and motivate . 100% LEARN ICT SKILLS HERE
 
kwa akili hizi wacha tuitwe shithole,.jambo lolote la msingi mtu anaingizia politics,. KUNYAMAZA NAYO NI BUSARA
ww unataka ujasiliamali iwe ni kuiza visheti sehem penye shule ya msingi au kuuza miavuli wakat wa mvua au kutengeneza viatu vya ngozi, kwa akili yako huo ndo ujasiliamali unaoujua.

U dont thnk kufanya interventions hata kwa soft skills na bado ukanufaika kama mjasiliamali. mfano kuandika vitabu kuhusu demokrasia au kuunda asasi kwaajili ya advocacy, hyo ww huoni kama ni fursa. Tatizo lenu ni kutaka kufabya vitu kwa kufikiria vilevile anavofikiria flan.

U wont make a step na utabaki kua SHITHOLE tulosomeshwa na wazazi wako ili kuintarain handcrafts kama ndo fursa pekee.

Politics ni avenue ambayo pia watu wanapiga pesa vzuri tu. Think out of the box buddy.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…