Utajiri utajiri................................

harakat

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
2,887
Reaction score
1,351
Kila kukicha huwa watu wanasaka fedha lakini hazijai na wala haziwatoshelezi sasa najiuliza
kuwa kwa kutegemea mishahara ya kibongo ya sh laki nne mpaka mili 2 mtu anaweza
kuwa tajiri na kama haiwezekani nini kifanyike ili kukabiliana na hili .
Watu wanabika buku lakini mwisho ni hela tu.....nawasilisha hoja.
 
sijakuelewa....lakini hapo nilipobold ndio sijakuelewa kabisaaaaa.......
 
hiyo kwenye blue nini mkuu,......fafanua ili hoja ieleweke mkuu
 
sijakuelewa....lakini hapo nilipobold ndio sijakuelewa kabisaaaaa.......

kama umemuelewa kidogo naomba unieleweshe na mm kadri ya kidogo yako Preta..plz maake mm nimetoka kappa
 
Fanya ufisadi...!
 
ikishajitosheleza ntarudi, naona kizungumkuti vile.
 
kama umemuelewa kidogo naomba unieleweshe na mm kadri ya kidogo yako Preta..plz maake mm nimetoka kappa

hii ningeomba unisamehe kidogo kwa leo.....ukizingatia leo ni w/end....ndio sitaelewa kabisaaaaa....mpaka j4
 
hueleweki, jipange upya tukuelewe vizuri na hasa hapo kwenye red fafanua hicho kilugha chenu kuwa kiswahili lugha ya taifa!
 
hii ningeomba unisamehe kidogo kwa leo.....ukizingatia leo ni w/end....ndio sitaelewa kabisaaaaa....mpaka j4

haya ntasubiri mpaka j4 basi,..ila usiache kunielewesha maake ni thread muhimu sana_si unajua inahusu mambo ya utajiri.
 
Mkuu kuna watu wana nyaka elfu themanini au Laki na tano na bado wanakuwa matajiri.
Utajiri ni kwa neema ya Mungu ndugu yangu.
Ushauri wa bure kwako. Jifunze kutoa fungu la 10 la mapato yako utaona mabadiliko, then utakuja kunitafuta!
 
hueleweki, jipange upya tukuelewe vizuri na hasa hapo kwenye red fafanua hicho kilugha chenu kuwa kiswahili lugha ya taifa!

Msimlaumu sana pengine hana meno ya mbele .........
 
Harakat...mche Mungu toa zaka na sadaka...uwe na malengo...laki mbili-2m mbona ni mtaji mzuri tu wa kuanzia...usikate tamaa..
 
Humu hatujadili utajiri bwanaaaa. Humu urafiki na malavidavi tu.
 
Mkuu kuna watu wana nyaka elfu themanini au Laki na tano na bado wanakuwa matajiri.
Utajiri ni kwa neema ya Mungu ndugu yangu.
Ushauri wa bure kwako. Jifunze kutoa fungu la 10 la mapato yako utaona mabadiliko, then utakuja kunitafuta!

Ni kweli kabisa!Toa ZAKAT ili u "purify" kipato chako!hata kama ni kidogo kitaongezeka zaidi na zaidi,,aidha kazi unayoifanya iwe ni ile uipendayo ki ukweli.
 
Utajiri wa nini, na huo utajiri utakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…