utajiri wa diamond kuanikwa forbes...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kama jamaa akikomaa na game,pengine anaweza kutangazwa Kwenye jarida maarufu la mastaa duniani FORBES MAGAZINE,jarida namba moja kwa kutangaza utajiri wa wasanii na watu maarufu duniani,kama ilivyokuwa kwa reginald mengi,rostam azizi pamoja mohamed dewji,kila kitu kinawezekana kwa sisi vijana kama tu tukiamua...
 
psquare hawapo forbes sembuse huyu dogo?
 

Madhara ya 50mb za promotion ndio haya, kila zuzu anadhani JF ndio sehemu ys kuja kujambajamba ushuzi wake.
 
Akazane yale sio majarida ya Baabu Kubwa.
 
Viroba asubuhi sio vizuri jamani,heading na contents ni tofauti kama magazeti ya shigongo. Anyway keep on dreaming maybe siku moja kweli ataandikwa huko forbes
 
Hata sijui kilichonifanya mpaka nikafungua huu uzi!
 
Unajua sana kuwa umbea ndo uliokufanya ufungue huu uzi..
 
NEWBIE, I don't take any alcoholic drinks..
 
Madhara ya 50mb za promotion ndio haya, kila zuzu anadhani JF ndio sehemu ys kuja kujambajamba ushuzi wake.

Do not call me zuzu bcoz we dont know each other,and its not important to comment on every thread u see,umeona its non sense chapa rapa..
 
Do not call me zuzu bcoz we dont know each other,and its not important to comment on every thread u see,umeona its non sense chapa rapa..
Jifunze kuandika:
-Bcoz(because)
-rapa(lapa)
Na sio lazima mtu akujue ili aone uzuzu ulionao.
 
only ---- deserves you, blood imbecile...

Hahahhaha aliyekuambia ukitumia kiingereza unaonekana msomi au mjanja amekudanganya. Jioni njema mkuu,kama vipi njoo malizia na castle moja hivyo viroba vitakuua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…