utajiri wa diamond kuanikwa forbes...

utajiri wa diamond kuanikwa forbes...

We matola kilaza baba yako,utasemaje mtu tajiri kwa pesa za kurithi??,nenda shule kwanza ---- wewe, kama wao wamezikuta basi diamond kazitengeneza mwenyewe,huwezi ku compare mali za urithi na kutafuta mwenyewe ,kitobo chako cha nyuma kinamwaga oil chafu,ignorant mkubwa
 
Unajichosha mwenyewe mkuu,mi nikuchoshe kwa kipi?
 
Kwani hizo pesa walizaliwa nazo?? Au mbowe hiyo nyumba ya dubai alizaliwa akaikuta??,kama jibu ni hapana basi kila kitu kinawezekana chini ya jua,kama tu ukiamua,halafu kijana acha kuishi kwa kujilinganisha,itaku cost sana maisha yako,usiangalia fulani kafanya nini,jiangalie wewe umefanya nini

Nakushangaa sana, mziki hapa bongo utajirike mpaka uingie kwenye list ya matajiri wa Forbes? Mtakata kiuno mpaka mpaka umri wa babu! Wekezeni kama mnataka utajiri, acheni ushamba wa kupigia hesabu HeLa ya mtu, pigia mahesabu HeLa yako, mtu akifanya vizuri msifie na wewe uchanganye upate hamasa uwe kama yeye, acheni ushamba na HeLa ndogo.

Body without head
 
Sasa ivi ndo naanza kuamini kweli TZ kuna umasikini wa kutupwa ivi mtu kama huyo kweli tunaweza ata kumweka kwenye list ya matajiri laki 1 wa Tanzania kwa ela ipi aliyonayo yani kutumika kama billboards za bidhaa za Coca-Cola na Vodacom ndo amekuwa tajiri zaidi ya waliompa hiyo tender.
 
Kama jamaa akikomaa na game,pengine anaweza kutangazwa Kwenye jarida maarufu la mastaa duniani FORBES MAGAZINE,jarida namba moja kwa kutangaza utajiri wa wasanii na watu maarufu duniani,kama ilivyokuwa kwa reginald mengi,rostam azizi pamoja mohamed dewji,kila kitu kinawezekana kwa sisi vijana kama tu tukiamua...

Acha ujinga wewe wa kufikiria utajiri wa watu...kwa nini usijifikirie wewe kuwa kwenye jarida la Forbes......?
 
Poa freeland, ila punguza jazba aiseeh
 
Kama jamaa akikomaa na game,pengine anaweza kutangazwa Kwenye jarida maarufu la mastaa duniani FORBES MAGAZINE,jarida namba moja kwa kutangaza utajiri wa wasanii na watu maarufu duniani,kama ilivyokuwa kwa reginald mengi,rostam azizi pamoja mohamed dewji,kila kitu kinawezekana kwa sisi vijana kama tu tukiamua...

Bado sana, tatizo ni mfumo wa usanii tunaofanya, mfumo ungekuwa mzuri wasanii wengi wangenufaika. . .let me ask you something,
Wewe ni shabiki wa diamond lets say. . .je kuna wimbo wowote wa diamönd umewahi kununua? Tanzania mbinu za ku commercialize sanaa ni ndogo sana bado. . .hivyo tusitegemee wasanii wetu kunufaika wakati hatuwanufaishi chochote zaidi ya kudownload nyimbo bure kwenye blogs.
 
bora hata ungesema kibongobongo hasheem tha beet,diamond forbes?Labda iwepo category ya wasanii wa music weusi wenye midomo mikubwa matajiri,vinginevyo mbona adebayor anaweza kumuajil amuoshee magari yake.
 
Back
Top Bottom