Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Larry Page wa Google Inc naona anasogea sogea, japo jamaa hataki kabisa ku "diversity" uwekezaji wake.
Hivi kipi kinamtofautisha na mtu kama mimi kimatumizi?Ninakula, ninavaa na ninalala!
Sawa mkuu, ila kwani basic needs zinatofautiana?mfano aliyekula baga na aliyekula matobolwa si wote wameshiba?Hakuna tofauti kubwa; tofauti ni kwamba yeye ana hela wewe huna mkuu.
Tofauti ni kubwa sanaSawa mkuu, ila kwani basic needs zinatofautiana?mfano aliyekula baga na aliyekula matobolwa si wote wameshiba?
Sawa mkuu, ila kwani basic needs zinatofautiana?mfano aliyekula baga na aliyekula matobolwa si wote wameshiba?
Elon musk yaani wamekwepesha kidogo tu jina lake Alien ( kiumbe wa nje ya dunia) wao wakamuita Elon ila ni Alien afu Musk ni Mask (kinyago) kinatumika kuficha ukweli wake, huyu ni kiumbe wa rohoni wengi hawajui hilo.Jarida la Forbes limeripoti kuwa Elon Musk ameendelea kushikilia nafasi ya mtu tajiri zaidi duniani baada ya utajiri wake kufikisha tena zaidi ya dola trilioni moja za Marekani, kufuatia kupanda kwa thamani ya hisa za Kampuni zake za Tesla na SpaceX.
Kwa mujibu wa Forbes, utajiri wa Musk ulifikia dola trilioni moja Jumatatu, Oktoba 5, 2026, baada ya kuongezeka kwa dola bilioni 30.6 ikilinganishwa na Ijumaa iliyopita.
Musk anaendelea kuwa Mtu tajiri zaidi duniani, akifuatiwa na Jeff Bezos mwenye utajiri wa dola bilioni 371.5, huku Larry Page akishika nafasi ya tatu akiwa na dola bilioni 284.3.
Hisa za Tesla zilipanda kwa zaidi ya asilimia moja, huku thamani ya SpaceX ikiongezeka kwa zaidi ya asilimia tano, ongezeko lililomsaidia Musk kurejea kwenye hadhi ya Mtu wa kwanza duniani kufikisha utajiri wa dola trilioni moja.