Well , she is not as rich as the title implies , it's just a spicy [emoji5]. Irene uwoya nowadays seems to live a lavish lifestyle , ambapo rumor has it kuwa , bi dada is hanging out with one of the successful business man in the country. Well this issue of wasanii kuhongwa it's not a new topic ,it has been there for ages , we have seen previous exquisite lifestyle of wema sepetu she used to have, who doesn't remember Tunda? , aunty Ezekiel , Jackine wolper , you name it , the list is infinity. The question is , have you seen the aforementioned current lifestyle?, where are they? , and what are they doing? , nothing.
Honestly , Mimi mtu yeyote ambaye sijui is wearing Gucci, Versace and all those branded clothing , with IPhones and driving fancy cars , kama kichwani hakuna kitu , I rate you zero , na hii ndio mastaa wetu wengi wa bongo walivyo , they don't strive to better themselves for their mentally , emotionally and intellectually growth . Wamekaa tu kudanga , hawana akili ya biashara , wamezubaa, watafungua duka la biashara Leo , kesho linefungwa, you tube , kuna business courses nyingi tu mtu unaweza kuingia na kujifunza, hata pale mliman wanatoa course fupi za biashara, Ila watu hawataki kujifunza, wanawaza umalaya tu na hawataki kufanya kazi.
Imagine a beautiful lady like uwoya , alivyobarikiwa uzuri wa nje, akivaa anapendeza, shepu ya uhakika , Ila anza sasa kuongea nae , yani kichwani hamna kitu , anacheka cheka tu mda wote, kujielezea hajui, Hana communication skills nzuri na hajiamini, she is ignorant and naive.
Sijawah Kusikia hawa mastaa wetu wa bongo wakipata madanga walau waseme warudi shule au kujiendeleza tu na course mbali mbali ndani au nje ya nchi just kupata exposure and insight kuhusu vitu mbali mbali duniani , wenyewe wanashindana kuvaa, magari na kuishi nyumba za kupanga, wakiachwa wanafukuzqa na kupokonywa kila tu wanabakia na I phone tu
Angalia wenzenu wakenya akina huddah na Vera wanavyodanga kimataifa na maendeleo yao , coz wanajielewa, wako smart sana kichwan na hawajasoma tu kama nyie , Ila in general wakenya wako smart sana kichwan ku compare na mademu wa Tz. Wale hawajiuzagi kwa wanaume wa ajabu ajabu, na sio kenya , wanasafiri dunia nzima . I'm not encouraging umalaya, but if ukiamua kujiuza that's your life choice , who am I to judge? Ila ndo mfanye na ya maana , wakina huddah wana makampuni yao na juzi alikua South Africa akizindua company yake Mpya achilia mbali huddah cosmetics .
Wenzenu wanapiga endorsement za maana , nyie wabongo nani atawachukua? Mmekaa kihasara hamjielewi, yani life style ya Tanzanian celebrities are so pathetic especially hawa so called divas , utumbo mtupu, miaka nenda Rudi , hawaendelei, sijui nani kawalaani? , mmeshindwa kujifunza hata kwa zari ? Mnadhani zari Ana elimu kubwa kihivyo? Ila ona alipofika sasa hvi ?
Zari na yeye alikua mdangaji kama nyie tu , mwangalieni alipofika leo ? , kwa sababu alidanga kwa akili , Now anajisimamia mwenyewe na makampuni yake , co anajielewa, zari tofauti yake na nyie ni akili tu , nyie hamna, mmekalia umbea na majungu.
Sent from my iPhone using JamiiForums