Utajiri wa kishirikina ulivyomfanya jamaa ampoteze mama yake

Utajiri wa kishirikina ulivyomfanya jamaa ampoteze mama yake

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
3,074
Reaction score
6,472
Mtanisamehe kwa nitachosimulia hapa lengo vijana mjifunze. Kuna jamaa yangu alikuwa mpambanaji sana na ni mtu wa malengo ya kufikia utajiri na lengo lake alitaka utajiri wa kishirikina. Kahangaika sana kwa waganga kapoteza pesa mingi kwenye hilo jambo mwisho akawa amekata tamaa.

Baada ya kuona anachopambania hakiwezekani siku moja tupo kwenye mishe katika story story akaingiza story zake na kuanza kutukana hiyi dunia hakuna Mungu wala uchawi nimezunguka makanisani na kwa waganga hakuna lolote" mwisho wa story zake nikamuuliza upo serious.

Nakumbuka alinitukana sana siku hiyo toka pale nikaapa kumfanyia kweli nilipokutana nae tena nikamuuliza una shingap hapo ulipo, akajibu laki unusu nikasema twende nifuate kuna zawadi yako (kipande hk naruka) akapewa sharti la kutumia hela inapoisha siku na hela iwe imeisha akajua hili shart ni simpo, jamaa pesa si tatizo tena mwaka wa kwanza, mwaka wa pili mwaka wa tatu shart alilopewa akapuuzia kilichofata baada ya kukiuka miko ndio hapa huu utajir unavyoanza kuwa mchungu.
 
Back
Top Bottom