Utajiri wa komediani maarufu Bongo, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’

Deo umenivunja mbavu zangu unavowaagua wanga wa maendeleo ya wenzao jamvini!
Stop killing albinos ha ha ha ha😀
 

si jambo baya kwa msanii kua na mali lakini waandishi mnajua wananchi wanahitaji ufahamu juu ya mambo ya maana hususani kipindi hiki ambacho nchi inaelekea katika uchaguzi pamoja na zoezi la upigani kura ya ndio au hapana kwa katiba mpya?

kabisa mtu unaandaa habari ya udaku tena ukiichunguza hata haijafanyiwa utafiti, waandishi hebu muwe na weledi kwa kusoma alama za nyakati na kutoa mchango kwa taifa maana kwakujua masanja anagari na nyumba hata hainisaidii kama ungeelezea hata mchakato wa katiba au tunu za uongozi.
 
Unategemea na magazeti ya udaku yaandike katiba?
 
Wewe umeisoma mpaka mwisho na bado umeileta hapa watu waisome zaidi. Mleta uzi hujitambui..
 
Mamaeee, jamaa yuko shambani kabisa na picha zina onekana eti mnasema sembe... Nyambafuuu mali iko shambani. Na hivi analima mpunga. Mbona ata fanya matusi mpaka mkimbiee
 
Tatizo wabongo wanavaa tai wanalipwa laki 7 hawataki kuamini shambani kuna hela sio kilimo cha mkono hawa jamaa wana hela aisee
 
Mchungaji amesuka vitunguu kichwani hahah[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…