Ghorofa ile ilikua na zaidi ya floors 24, kwani mimi na fatemeh tulishuka au tuliishia flow hiyo ya 24 lakini bado kulikua na floor nyingine kwenda juu zaidi. Na Ndani ya floor hiyo ndipo kulipokua na apartment aliyokua akiishi fatemeh.
Tulipofika ndani ya apartment hiyo fatemeh aliniambia hapo ni kwake hivyo naweza kumpumzika kwa amani kabisa kwani nipo sehemu salama.
Mandhari ya apartment hiyo ilinivutia sana kiukweli kwani palikua pametulia mno hakukua na kelele wala movements za watu za hapa na pale.
Ukiwa ndani ya apartment hiyo unaweza kuuangalia mji wote na shughuli zote zilizokua zikiendelea mjini hapo. Fatemeh alinionyesha chumba ambacho nitalala siku zote nikiwa hapo kabla ya kurudi bongo na alisema ameagiza aletewa kila kitu cha msingi kiichotakiwa kuwepo ndani hivyo ikitokea yeye hayupo nitaweza kupata kila kitu ndani na sitakuwa na haja ya kutoka ndani umo.
MIMI: Why do you live on your own without siblings?
( Kwanini unaishi mwenyewe hauna ndugu?)
FATEMEH: you should be my brother, how do you think
( Tufanye uwe kaka yangu basi, unaonaje)
Kwa majibu yale niligundua hakua na ndugu kabisa ndio maana alikua pale akiishi peke yake.
MIMI: you can't be my sister
( Hahahahah huwezi kuwa dada yangu)
FATEMEH: why
( Kwanini)
MIMI: you already sucked my dick
( Unakuaje dada yangu wakati tayari umeshanyonya ****)
Jibu langu lilimfanya awe na ki aibu cha kike na kilimpelekea kupoteza utulivu kabisa.
FATEMEH: now.....!!!! who can we be if not brother and sister
( Sasa tunaweza kuwa nani kama sio kaka na dada)
MIMI: lovers
( Wapenzi)
Fatemeh hakujibu chochote zaidi aliniangalia tu na kusimama kuelekea kwenye chumba chake. Mpaka hapo niligundua fatemeh na ujanja wake hakuwahi kuwa na interaction na wanaume.
Wale wanaume alio interact nao ni wale waliohusisha mambo ya kazi pekee lakini mbali na hapo kuna uwezekano mkubwa hakua ata na rafiki wa kiume.
Hivyo apo nilitamani sana kujua story ya maisha yake huko nyuma, yaani alisoma vipi na alikulia wapi na kuzaliwa wapi.
Kutokujiamini kwake niligundua tulipokua ndani kwani hakua na utulivu kabisa ata kuniangalia usoni hakuweza kabisa. Jambo hilo ndio lililo nipelekea nazidi kujua weakness yake na mimi kumkazia sana usoni tunapokua kwenye maongezi hali iliyomfanya kukosa utulivu kabisa.
Baada ya kuona mwenzangu amenikimbia pale sitting room kutokana na maneno yangu ambayo yalimkosesha amani. Na mimi nilielekea kwenye room ambayo niliambiwa ndio nitaitumia siku zote nitakapo kuwa eneo hilo.
Cha kwanza kabisa ilikua ni kuoga, wakati nipo bafuni niliskia kama kengele ya mlangoni ina bisha hapo nilijua kuna mgeni amefika eneo hilo.
Wakati naendelea na kuoga na mlango wa chumba changu ulifunguliwa japo sikujua ni nani ameingia mi niliendelea na shughuli zangu chooni.
Nilipotoka kuoga nilikuta mfuko mkubwa wa plastic ukiwa kitandani, ndani ya mfuko ule kulikua na nguo mbali mbali zikiwemo na kanzu pia. Hapo niligundua aliyekua anapiga hodi ya kengele ndiye aliyekua amekuja na mzigo huo wa nguo.
Kwenye zile nguo zote zilizokuwepo eneo lile niliona ngoja nivae kanzu kwani kwenye maisha yangu sikuwahi kuvaa vazi hilo kabisa hivyo niliona wakati huo ni wakati sahihi kabisa kujaribu vazi hilo.
Baada ya kutupia kanzu yangu ambayo ilionekana ni ghali sana mjini pale, nilijisogeza mpaka sitting room ambapo nilimkuta fatemeh akibeba baadhi ya mizigo iliyoletwa hapo akiipeleka jikoni na stores.
FATEMEH: mashaallah!!!.... You look amazing today
( Mashaallah, umependeza sana)
Pia aliuliza kwanini nimechagua kuvaa kanzu wakati zilikuwepo nguo za kibrazamen mfano t-shirt na jinsi na kadet pia. Jibu langu liikua ni lilelile sikuwahi kuvaa kanzu hivyo basi nilitaka kujua ninaonekana vipi.
Nilianza kumsaidia fatemeh kubeba mizigo hiyo kupeleka store na jikoni, wakati tunaendelea na ubebaji niliuliza ni nani aliyekua akibisha hodi ya kengele.
Kwa majibu yake ni watu wa delivery na hao ndio watu pekee ambao hufika hapo kwani hakuna mtu mwingine yoyote ambaye anaweza kufika hapo ukizingatia hakuwahi kuwa na ndugu au kuwajua ndugu zake kabisa.
Hata hivyo fatemeh alionekana kufurahia uwepo wangu Ndani ya nyumba ile niligundua hilo baada ya kusikia kauli yake. Alisema kwa miaka kadhaa toka atoke kituo cha nursery imam Ali amekua akiishi peke yake ndani ya nyumba hiyo.
Lakini siku hiyo alikua ni mwenye faraja baada ya kuona tupo wawili tunabadilishana mawazo na kupiga stories mbalimbali japo kuna muda story zangu zinamkera.
Alidai nimeshindwa kumsoma yeye ni mtu wa aina gani kwani nimekuwa nikitanguliza tamaa ya ngono sana wakati yeye hakua na mawazo hayo.
Lakin pia alidai hakuwahi kuwa na mahusiano ya karibu na mwanaume wa aina yoyote mpaka kufikia umri huo. Hivyo basi kulingana na maisha aliyolelewa mpaka kufikia hapo mimi ndio mwanaume aliyewahi kuwa nae karibu mpaka kufikia hatua ya kushika maungo yangu.
Hivyo alitanguliza kusema sababu kubwa ya kunizoea mpaka kufikia hatua hiyo imesababishwa na namna tulivyoanza mazoea hayo tukiwa haullaga.
MIMI: ok....! that's why miss aparecida Said I'm very lucky man
( Ndio maana aparecida alisema nina bahati sana)
Since I very lucky man, i can get your virginity too
fatemeh alisema kwa tabia zangu hizi za kujifanya kidume mwenye uchu kumbe ni bora Javier angeniacha jamaa wanishughulikie.
Hapo niligundua anachukizwa na maneno yangu ya kufosi kula tunda kwani yeye hakuwa na mawazo hayo kabisa. Muda wote tukiwa ndani fatemeh alikua amefunika kichwa, sasa nilishangaa sana kwani hapo mwanzo tukiwa haullaga hakuwa vile kabisa.
MIMI: why you still covering yourself, you didn't do that when we were in haullaga.
( Mbona bado unajifunika wakati hukufanya hivyo tukiwa haullaga. Kama umeamua kujifunika jifunike tukiwa nje huku ndani niache nifurahie urembo wako)
Apa sasa fatemeh alijibu kwamba Kule haullaga alikua ni Manuela ila huku Tehran nipo na fatemeh binti wa ki-shia ambayo hapitwi na swala kabisa.
Hapa pia nilimuuliza kama yeye ni mtu wa swala ilikuaje akawa anatumia dawa za kulevya akiwa haullaga tena alikua teja kabisa.
Majibu ya fatemeh yalikua mepesi mno, alisema next time atanieleza ni nini kilikua kinafanyika pale ila ukweli ni kwamba kwenye maisha yake hakuna kilevi alichowahi kutumia mpaka anafikia umri huo.
Ni wazi fatemeh hakupenda kujibu maswali yaliyohusu taaluma yake ya ujasusi lakini pia taaluma yake ya udukuzi kwani maswali mengi aliyaacha na kusema ata nieleza kiundani hapo baadae kwani bado hakua ameniamini kiasi hicho licha ya kua na taarifa zangu za kutosha.
Muda huu tulishamaliza kuweka sawa mizigo yote kuanzia jikoni mpaka store hivyo tulikua wote tupo jikoni tukiendelea na mapishi. Mtoto wa kibongo sikua nyuma sana yaani yeye akishika nyanya mimi nashika kitunguu.
Yeye akishika mafuta mimi nashika mwiko au kijiko, yote hiyo niliifanya kuhakikisha naendelea kutengeneza ukaribu nae kwani Imani yangu ya kula tunda ilirudi upya kabisa.
Kwa asilimia fulani nilifanikiwa kwani tukiwa jikoni tulikua close sana yaani ukaribu uliongezeka lakini pia alikua huru ukilinganisha na masaa machache yaliyopita.
Lakini pia niligundua ata yeye kuna vitu alikua anavitamani sana ila alishindwa kuweka wazi labda kutokana na msimamo wa dini yake au labda maadili ya kazi yake.
Wakati huo nikiwa na fatemeh pia niligundua kuwa ni mtu aliyewahi kuishi maisha ya upweke ulipitiliza hapo kabla. Kwani kitendo cha kutokua na wazazi wala ndugu basi ni dhahiri aliishi maisha ya upweke sana kuanzia utoto wake mpaka anafikia utu uzima huo.
Ni wazi kampani yangu ilimfanya kujiona sasa ni mtu mwenye rafiki wa karibu lakini pia alijiona wa thamani kwa kuwa na mtu wa kubadilishana nae mawazo.
Licha ya hivyo katabia kangu ka kufosi kula tunda kalimfanya na yeye ajione mwanamke ambaye anavutia mbele ya wanaume. Kwani ilionekana wazi watu anaofanya nao kazi wasingeweza kumchombeza kwa namna yoyote ile.
MIMI: can I see your childhood memories like photos?
( Naweza kuona kumbukumbu zako za utotoni kama picha na vingine, niliongezea hapo kwamba anaonekana enzi za utoto wake alikua very cute girl)
FATEMEH: Even my self wish I could see them
( Hata Mimi pia natamani ningeziona)
Kwa majibu hayo nilijua kabisa ni wazi ata yeye hakuwahi kuona picha zake za utoto.
Lakini pia niliwaza inawezekana fatemeh akawa na story ngumu sana inayohusu maisha yake. Hapo niimuomba anipe at least nusu ya story ya maisha yake mpaka anafika umri huo.
Sura ya fatemeh iliongezeka upole na majonzi kwa wakati mmoja, alibeba msosi ambao ulikua tayari na mimi nilibeba msosi pia tukaelekea mezani sehemu ya dinning table.
Tukiwa dinning fatemeh aliuliza kuwa nataka kusikia story ya maisha yake kuanzia wapi. Kwani yeye mwenyewe haujui mwanzo wake zaidi anachokumbuka ni maisha yake kuanzia kituo cha nursery imam Ali.
Nyuma ya hapo hakuna anachokumbuka, yaani hajui alizaliwa wapi? Baba yake ni nani, mama yake ni nani wala hajui ndugu lakini pia hajui alifikaje kituoni hapo.
Mlezi wake wa kwanza aliyempokea kituoni hapo alikufa kwa kuwekewa sumu aina ya Botulinum inayotokana na bakteria wanaofahamika kama anaerobic.
Lakini kwa upande wake ana amini kuuwawa kwa mlezi huyo kulisababishwa na yeye mwenyewe yaani fatemeh ndio aliyepelekea kuuwawa kwa mlezi huyo.
Fatemeh aliligundua hilo baada ya uchunguzi wake binafsi alioufanya baada ya kuwa ametoka kwenye kituo hicho. Na ni kupitia uchunguzi huo ndio aligundua kutumika kwa sumu hiyo kwenye mauaji ya mlezi huyo.
Ni taasisi au idara ya MOIS ndio iliyomtoa fatemeh kwenye kituo hicho na kumpeleka kwenye kituo kingine baada ya kugundua uwezo wake mkubwa wa darasani.
Wakati tunaendelea na story zile ilionekana wazi kama fatemeh hakuwahi kuulizwa swali lolote kuhusu maisha yake hapo nyuma. Lakini pia niligundua kuna siri kubwa iliyopo nyuma ya maisha yake, na kuna uwezekano mkubwa kuwa siri hiyo inafichwa na either serikali ya Iran au ata yeye mwenyewe.
0623329512 ( Whatsapp) kama ukihitaji kusogea mbele zaidi kwa kutumia PDF ( BUKU TATU TU!)
bandari haijauzwa mama yupo kazini,
Sent from my ZTE T1002 using
JamiiForums mobile app