brotherhood_m25
New Member
- Sep 4, 2020
- 2
- 3
Afrika, wa afrika wengi tunaafikiri Nchi kuwa na maendeleo chanya niuwingi wa mali asili zilizopo tunasahau miaka kadhaa iliyopita huenda wengine hatukuwa tumezaliwa ziko nchi zilikuwa masikini wa kutupwa mfano, libya, Rwanda, Umoja wa Falme za Kiarabu(dubai) nk. Ni miongoni mwa nchi zilizokuwa masikini wa kutupwa lakini kilichobadili hizi nchi na zingineyo unazozifahamu si rasilimali walizo kuwa nazo bali ni UZALENDO WA VIONGOZI, VIONGOZI WENYE MAWAZO CHANYA YA KIZALENDO KWA NCHI NA RAIA, KUWA NA UCHU WA MAISHA BORA KWA RAIA WAO NK.