Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

@UMUGHAKA bhana!
 
Nlivomtazama huyu paka wako nmejikuta nmependa kufuga paka gafla. Katulia knoma
 
Mpe changamoto mpemba mweleze umetambua alichomfanya paka wako ...mshushie lawama za kutoshaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
We kwel chizi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ametulia mwenyewe mpaka nimemtamani nimfuge ingawa naogopa sana paka. So clean
 
Vimabaki vya mboga za majani kwenye zivuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamaa una kipaji sana aisee

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…