Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

View attachment 2486777
Wangu huyu hapa siwezi muuza aisee ananipa raha mno ,nitumie dawa gani ya kuzuia asibebe mimba
Bado mdogo lakin ila Ndio anakaribia kukua?
Ukifika muda wa kuchapwa katatandikwa tu.
Nilikua nae mzuri kweli, mwanzo alikua poa hasa yaani hadi unaona paka wengine mtaani huko unashangaa.
Kakaja kuanza kupigwaa miti baas balaa ilikua hapo.
Kalikua kanahonga balaa,kanaleta mabazazi mle ndani wanakatindua alafu wanasaidiana kanafungua friji km kuna mboga utalikuta Sufuria chini washalamba kila kitu.
Kuna siku nimewafuma live wakala mikwaju wakakimbia
,N yeye akawa paka la kitaa, badae sijui ikawaje nafkiri alizaa huko nje.
Akaanza kurudi mdogo mdogo nikamrudisha home.
Kaanza tena tabia za kimalaya.
Yaani ile mipaka inakuja inaunguruma pale nje tofauti,ndo kuona huyu hana deal nimpoteze basi.
Aaah hapo nilishindwa battle.
Aliondoka mwenyewe badae
 
Hahahaha yan umenitoa machozi kwa kucheka sio kwa kuhonga huko na kuyaleta mabazazi ndani
 
View attachment 2486777
Wangu huyu hapa siwezi muuza aisee ananipa raha mno ,nitumie dawa gani ya kuzuia asibebe mimba
Bado mdogo lakin ila Ndio anakaribia kukua?
[emoji16][emoji16][emoji16] hutaki wajukuu...! Anyway hakuna dawa ya uhakika kama operation ya kuondoa kizazi, kwahiyo we ukiona ameiva basi muandalie budget yake ya kumpeleka clinic wakaondoe ovary
 
Zamani sana tulikuwa tunafuga, siku hiyo naingia ndani akanirukia toka juu ya kabati kwa ghafla na ilikuwa giza macho yake yanawaka. Basi toka siku hiyo nawaogopa sana ingawa waliniambia alikuwa anataka mcheze tuu ila uwoga haujatoka.
Pole sana aisee, ni kweli hapo alikuwa anataka michezo, na kuna muda anataka Aku suprise ili michezo inoge ila ikitokea ukaogopa uka react tofauti na yeye akapata hofu basi anaweza kukuumiza

Ujinga wao ni kwamba kama hakatwi kucha ye mkiwa mnacheza anazitumia kucha na Meno kama silaha ilhali mko katika hali ya mchezo

Kama unafuga paka majeraha ya kukwaluliwa ni kawaida sana maana ndio michezo Yao, kikubwa ni kuhakikisha unamkata kucha kila baada ya siku kadhaa ili kupunguza uharibifu wa vitu na kuzuia majeraha
 
Haina shida, Basi tubadili jina la uzi tuuite "Uzi Maalum wa kutafuta Paka Weusi na Weupe" [emoji16][emoji16]
 
Zamani sana tulikuwa tunafuga, siku hiyo naingia ndani akanirukia toka juu ya kabati kwa ghafla na ilikuwa giza macho yake yanawaka. Basi toka siku hiyo nawaogopa sana ingawa waliniambia alikuwa anataka mcheze tuu ila uwoga haujatoka.
Kumbe wewe ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…