Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkuu endeleza tumalize
 
Endelea kuota. Hao wakurya walishaisha. Me nimeishi nao Tarime. Hakuna kabila lina watu waoga kama wakurya. Hao unaowazungumzia kama wapo ni wachache sana, tena wanapatikana maeneo ya nyamongo. Lakini hawa wa kina UMUGHAKA wa mjini hawana ujasiri huo. Labda huwajui
 
Kila unampenda unamuoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama na baba yako unawapenda au huwapendi kama unawapenda umemuoa au kuolewa na yupi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
hV kwenye ile story yako ulipata hata buku moja kweli,maana sitegemei kama kuna great thinker anaweza lipia upuuzi ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…