Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Walai mna balaaa sio dogoooo! Hadi msukule/ jini mwenyewe kaielewa shooo sio ya kitotoβœŒοΈβœŒοΈβœŒοΈπŸ’ƒπŸ˜πŸ˜
Wakurya tuna ujasiri wa peke yetu, sasa inayokuja ni tamu zaidi. Itafummbua fumbo kama Maya ndiyo Farah ama vinginevyo.
Umu si wa mchezo mchezo. Akija na story ya shule Tanga kula 🍎 itakuwa πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Kabisa walai kule mko vizureeee mnooo!!
Akimaliza hii inayofuata mbona wapenda ngono akina National Anthem nal Anthem watafurahi naroho zaoo😁😁!
Kiukweli masta kusimulia anajua bana!!
Ulizisima story zake Mbili za nyuma kabla ya hii?? Zote ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Skylar hebu njoo huku, nahisi kama unachelewa kufika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…