Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

dr namugari
 
Ungekula.tu wala haina madhara. Chakula cha dua kafara wahusika hawali ila wengine wanakula tu.mnaogopaga hadi naz we ukizikuta beba
Umenikumbusha nilienda kigamboni mbele kabisa, kuna sehemu, wahindi na waarabu wanaweka sadaka zao za tende, nazi, na pesa hata vyakula. Basi wale maseka wa pale wakiondoka tuu wanakula na kuchukua vitu vyoote.
 
nimetamani sana kumtia maya basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…