Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Unahisi kwanini alikuwa anachinja kuku kila mwezi? Boss hivi damu ya kuku inahusiana vipi na mtu kuwa tajiri au ya mtu huwa najifikiriaga nipate hii connection nashindwa au kuna kitu cha ziada?
Hayo ni maagano huwa yanapanda kulingana na mafanikio ya mtu, ukiambia inahitajika sadaka ya damu hata kama ni ya kuku baadae dau linapanda itahitajika ya binadamu.
 
Hayo ni maagano huwa yanapanda kulingana na mafanikio ya mtu, ukiambia inahitajika sadaka ya damu hata kama ni ya kuku baadae dau linapanda itahitajika ya binadamu.
Huyo jamaa hapo hakusema kwamba kuna maagano. Maana mimi navyojua lakini kwa ufinyu wangu maagano ni makubaliano pande zote. sasa hili swala la kuja kubadilisha kutoka kuku mpaka binadamu inakuaje au ni wao ndo wanajiamulia? Halafu niliuliza kuhusu uhusiano wa damu ya mtu na yeye kuwa tajiri? Jaribu kuielezea KWA hali ya kawaida tu kama unamuelewesha mtoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ mana kuna watu nawaona mimi wanapata mshara mkubwa akipokea mshahara anaeenda kunywa pombe miaka 7 yupo kazini BADO kapanga baadae anasema mimi narogwa ngoja niende KWA mgangaπŸ˜‚πŸ˜‚au mkuu maswala ya IMANI hayaelezeki?
 
Kumbe unataka nikueleze hatua za kutoa sadaka ya kuku mpaka ya mtu, sina majibu ya moja kwa moja labda tumsubiri UMUGHAKA ataeleza kwenye kisa chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…