Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kwa mimi navojua hayo mambo ya utajiri na kafara, kufanya mambo ya ajabu kama hayo kulala na maiti, misukule, wazazi, mashoga nk.

Yote hayo ni ili tu kukufuru, kukubali kumuabidu shetani. So ndo kuna hizo njia nyingi ambazo unaweza kumuabudu. Ama lah wengine ndo hao majini ambao chakula chao ni damu ya wanyama so zile kafara zinakua na mawili chakula + kufuru=Kumuasi Mungu na kua mfuasi wa shetani.

Kama hapo huyo jamaa kafanya yote, analisha jini damu yake na wakati huhuo anafanya chukizo mbele za Mungu (kufuru) kwa kulala na jini/msukule.
 
Ila nikweli ila Sasa vijana wanataka mali
 
Niwasiliana na UMUGHAKA kasema episode ya 20 tukutane mwakani, kwaiyo angalieni kazi nyingine za kufanya
Kama utafatilia haya Mambo kwa umakini mkubwa na kufatilia kiundani siku hadi siku tangu zilivyoanza hizi taarifa mpaka kufikia hii leo kwa namna ilivyo pande zote mbili utagundua kwamba mimi sina la kusema asanteni sana
 
Lucha njoo
 
Namna Umughaka anavyomalizia episodes zake,ndipo uraibu wetu kwenye hadithi zake huanzia.

Umughaka,kabla haujaenda mbele sana hebu tuhabarishe response za Maya wakati wa gegedo alikuwa vipi,na kama alikuwa anatoa sauti za utamu pia unganisha mkuu.
Usiku mzima haukufanikiwa kumsemesha Maya kutaka kujua kama anasikia utamu au maeneo aliyokuwa akishikwa analowa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…