Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Wewe bila shaka unataka niwe mume wako,yaani niache kufanya shughuli zangu nishinde kutwa JF ili nikufurahishe wewe mpumbavu mmoja!
Mbona ww unashinda Jf kila siku au unadhani hatukuoni,niwe mke wako kwani hujatosheka na ilo zukule lako..acha kutisha watu na kama ukitaka kusitisha uzi wako sitisha tu mpuuzi [emoji23]
 
Umemaliza kila kitu kaka mkubwa.
 
Umeeleweka, nilikufuata inbox ukanijibu hivyo. Endelea kupiga kazi bro.
 
Wasamehe mkuu.
 
Kimsingi wew bado mshamba,yaani watu wote tukufuate PM,kwanini hukusema hapa hapa kama ulivyoenda mbeya ulisema hapa na watu tukakuelewa,unakuwa na kiherehere cha kuanzisha story afu mwisho wasiku ikikosea watu wakikuchalenji kidogo tuu unaanza kupwayuka...maliza story kama ulivyoianza,kama hutaki achana nayo hakuna mtu alikuomba hapa ni wewe na kiherehere chako cha kuleta story hapa
 
Endeleza akija akute episode ya 30
 
Mura shida ni kwamba kuna vijamaa humu na vyenyewe vinaenda kusimulia huko sasa kakibanwa huko mwedelezo kakija humu kanakuta episode bado.. basi kanapaliwa kanaanza matusi 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…