Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kalpana njoo tayari
 
Wewe mwamba ni kichwa hata uandishi wako wa ushauri tu umeenda shule
Mungu ni mwema na ni naamini ameamua tujifunze kupitia wewe ulimwengu huu uliopitia wewe
 
Kila ninapopata wasaa wa kusoma baadhi ya comments,

Kwa jicho la tofauti kidogo.....

Naona kama kuna (external force)nguvu ya ziada kubwa kiasi inatumika kumkashifu/kumtukana waziwazi! Kabisa UMUGHAKA Ili kumtoa nje ya boks,kumtoa kwenye mood akasisirike asiiendeleze hii story ,......


Naamini baadhi ya watu inawalenga/itawagusa mbeleni kidogo.....

Will see!

Lakini kwa jamaa anaonyesha dhahiri ukomavu wa kiakili na kifikra.....alishalitambua hili.
 
Ukimchalenji anaanza matusi..utadhani alitumwa atuletee hadithi,anashindwa kuheshimu jukwaa angewahadithia hao boda boda wenzake[emoji1745]
 
Woyooooooooooooo
 
Aisee kweli Vijana wa kitanzania wana shida sana yaani na sijui wanashida gani. Sioni hata sababu ya kumkashifu UMUGHAKA . Na ameshaeleza sababu kwamba sasa hivi ni msimu wa kilimo lakini bado wanaandika lugha zisizo na staha. Taifa linaangamia halafu hapa kupitia hii Simulizi tunaburudika na Tunajifunza.

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…