Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

[emoji16][emoji16] Mwandishi anasoma comments anabadilisha story juu kwa juu
hahahaaa...ya Rey kukaa siti ya mbelee hakubadiliii giaaa pia hii ya kutomuua kipenzi cha rohooo😁🤗🤗🤗! Utamu unakolea ila ndoivo inaelekea ukingoniiiii lol!
Kweli master ni Fundiiiii mwambaaaa!!👏👏👏👏👏👏
 
yaani wewe konyo felia wa kidato cha nne unasumbua nahisi bado hujapata mume ole wako nyau wewe
 
Lucha ukuje kama masihara nimekutana na new episode naona bro kashindwa kutoa kafara kwa ajili ya ule mzigo nawaza anagekutana na flat screen zetu yan chap angetoa kafara, aisee kuna haja ya kwenda turkey kuondoa flat screen la.sivyo kifo nje nje 😂😂😂😂
 
kila kitu kina hatamu yake, sasa ni hatamu ya UMUGHAKA, haijalishi nini anaandika, story yake na uhalisia wake pia.

kiufupi uyu jamaa kama ingekuwa analipwa kutokana na click mda huu angekuwa na sent za kutosha. binafsi nakubali sana ufanisi wake.

tujue kwamba kuna watu wana simulizi au matukio ya hatari na yenye kuvutia balaa. ila akianza tu kusimulia watu wote tutaanza kusinzia humu.

nakubali sana hii simulizi kwa asilimia nyingi, japo kwa sababu zangu binafsi hasa za kinidhamu na kiheshima kuna maeneo kadhaa hayapo sawa upande wangu.

yote kwa yote, jamaa kipaji anacho na kazi ya kuandika anaifanya vizuri sana[emoji838]
 
Njoo Pm uniambie maeneo unaona hayapo sawa nikufafanunulie mkuu
 
Mwanamke hata awe na sura kama ya yule jimama Unono (wasomaji wa story za Joram Kiango mnaweza mkumbuka) ambapo akitabasamu utadhani analia ni mwanamke kamili maadam ana uke, tusiwaponde jamani
 
Uchambuzi wa story ya UMUGHAKA mpaka tulipofikia ep 23....


Kitendo Cha umughaka kushindwa kutoa kafara ....sio yeye Bali binti alilindwa na MUNGU

That's y tunashauriwa kumkumbuka MUNGU katika maisha yetu coz sometime tunakufa vifo ambavyo sio vyetu

Tunaishi kwenye jamii ambayo Ina Kila aina ya ushirikina

References

Movie ya Rango (animation)

" Always people believe in something .....they believe that tomorrow Will be better than yesterday & today"

You control water (magic [emoji16][emoji16][emoji16] ) ......you control everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…