Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

baby zu imeendelea
 
Mkuu hivi kweli ulinielewa nilichoandika?.

Nilisema kwenda Advance level nilipata Divesheni 2 nikachaguliwa Tanga Tech kwenda kusomea PCB,sasa hapo hujaelewa kitu gani!.

Kaka Tanga Tech ulilala bweni gani hapo? Mimi nilikuwa nikilala Twiga enzi hizoo !! 🧍
Mmeacha watoto wenu wengi sana mitaa ya kwanjeka huku Tanga...
 
Mkuu this is news to me! Nimesoma pcm advance ila sijawahi kujua kama Kuna specification za combination kuanzia o level, nachojua Kuna arts na science tu kipindi hicho si tunasoma!!!

I stand to be corrected hapa tupo kujifunza
Mkuu akili yako inaweza kuwa imefunikwa sijui kwanini hutaki kuelewa na kuleta ubishi wa kijinga
 
Inasikitisha sana bora kuridhika na hiki kidogo nioichobarikiwa na mwenyezi Mungu
 
Mkuu pole kwa mapito,hadi kuleta kisa hichi mbele yetu naamini wewe ni mtu safi kwa sasa na umejutia njia hizo.
 
Pigilia misumari humohumooooooo,sina haja na story ya mwanzo,shusha maepisode tu mzee wa kazi,🤣🤣🤣🤣
 
Masterrrrrrrrrr
 
Umemjibu vizuri sanaaa...
Binafsi naiheshimu saana hii forum
 
Kwan kwenye movie ya rango, walivosema "u control water u control everything" walimaanisha magic kvp?
 
Nukuu


" Utajiri lazima uulinde Kwa nguvu na wivu mkubwa"""


Kuna watu wanajisahau hapa Dunian kiasi Kwamba wanaona Wana life insurance ( wanadhani watabaki milele)


Mistake

UMUGHAKA kasomesha manzi .......kavunja kiapo chetu tulichokubaliana "DEMU HASOMESHWI"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uchambuzi kidg ep 24

,.....ukishaingia kwenye mfumo wa utajiri wa kichawi na ukajaribu kutoka bila kujikabidhi Kwa MUNGU Kuna effects zitatokea:

Kifo....coz lazima naww ukatumikie wengine


Ukikwepa kifo basi utapigwa maisha MAGUMU coz nyota Yako inakuwa imepakwa tope la binadamu [emoji1787][emoji1787]kiasi Kwamba hata mbwa watatema mate wakikuona

Since wanakua bado Wana assess ya nyota Yako tangu ulipoingia kwenye mfumo wao

NB: DONT HUNT WHAT YOU CANT KILL....
 
Mkuu pole kwa mapito,hadi kuleta kisa hichi mbele yetu naamini wewe ni mtu safi kwa sasa na umejutia njia hizo.
Mkuu hayo ni mambo tu mtu anakupa ushauri ndio unaingia mzima mzima kwamba kuna hela ila ukicheza bugi tu wana wewe utajuta.
Nilienda kwa sonara sa 10 usiku nimeondoka sa 5 asb sitasahau hiyo siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…