Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wa ughaibuni Siyo Lizarazu kweli mkuu
 
Ila kuna mmja zamani nadhani 2018 nilikutana nae oasisi hotel morogoro njemba tall ilikuwa imevaa pensi nilivoizoom iko jf nikakausha[emoji23][emoji23]ilikuwa karibu na swimming pool inawachora warembo wakiogelea
Ni kweli. Si ungenishtua.
 
Shida yako unasoma ila huelewi......wapi umughaka amesema Maya ni mnyama?
Yap..hapo kwa Maya mwanzoni alivyohadithia ilionekana ni jitu kama jini hivi halishikiki wala halionekani kirahisi (alisema ni kiumbe cha ajabu sana). Lakini baadae ikaishia ni mwanamke mzuri tu wa kugegeda na ni mtamu.
Hii ni kama ile movie ya Predator mwanzoni mwa movie Peedatoe ilionekana ni jini ambalo linaelea kwenye matawi ya miti hata upige risasi/mabomu unajisumbua maana halina mwili halisi, mwishoni mwa movie likaonekana kumbe ni robot tu lenye mwili wa kawaida na nyama na linapigika tu kirahisi kwa mikono mitupu bila hata silaha.
 
Nimemjua na mimi...
Nilikua nyuma yenu 😆 😆😆😆
 
Naomba namba ya huyo mganga wa chumbe (kama sijakosea)

UMUGHAKA

UMUGHAKA

UMUGHAKA
 
Kama yule jamaa aliyesimulia kwenye kile kitabu cha "sitoisahau Gamboshi". Yaani alieleza vitu vingi sana hadi unajiuliza Huyu Mwamba anakichwa gani chenye uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu kiasi Hiki? Anyway waswahili walisema anayesàhu alipotoka hajui anapokwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…