Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

@Demi
 
@lubawa
 
Mkuu migahawa huo mtaa ipo mingi,mimi sijataja jina la mgahawa!.
 
Umenikumbusha, kama sikosei alianzia redio free
RFA walimpa airtime misimu mitatu yaani kuanzia mwaka 2008, 2012 na 2019 ndipo alizinguana na Magasha na simulizi haikuisha hivyo walisitisha.

Kwa kifupi jamaa alieleza mambo mengi sana yanayofanyika ktk huu ulimwengu, watu tulikuwa hatujui kama hapahapa Tanzania Kuna Kijiji Cha wachawi na siyo Kijiji tuu Bali ni mji ambao upo mkoani simiyu, kwani inasemekana ktk huo mji Kuna ghorofa yenye floor 30 haitoshi eti Kuna trani ya umeme, yaani hii stiguras tunayoangaika nayo Huku Duniani kumbe ktk hicho Kijiji ilikuwepo muda murefu,

ila alieza kuwa tatizo lililopo Kule wanakula nyama za watu na kunywa Damu, pia alisema kipindi yupo Kule aliwaona wasanii wa nyimbo za injiri ambao ni maarufu pia aliwaona mapastor yaani jamaa alieleza mambo mengi sana, pale ndipo nikajua Dunia Haina Siri.

Alamsk [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sio hapo mkuu
 

hahah izo kama hazionekan bas io ghorofa izo
 
Mkuu mimi nilishafika gamboshi, ni kijiji kipo simiyu kweli, lakini ukiuliza wenyeji kuhusu hayo mambo ya kishirikina wanasema yalikuwepo zamani sana. Nilifika mwaka 2017 nikiwa nafanya kazi ya ukusamyajibwa data.

mimi huwa najiuliza sana, huu uchawi wa gamboshi unaozungumzwa ni upi, maana hata ukiuliza wazee watakwambia hata wao wanasikia tu kuwa zamani inasemekana palikuwa na wachawi hapo kijijini
 
Unapo "UNGAMA",haufichi kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…