Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

wapemba ndio zao kila kitu wao lazima waangaliezie nyota sio mke sio rafiki sio wafanyakazi wanashirki sana wale watu na ni hodari sana wakutoa kafara za vifo vya ghafla utasikia tu alidondoka chooni imeisha hiyo..
Mkuu ata wakitaka kufunga ndoa wanaangalia nyota za Bibi harusi na Bwana harusi ndiyo ndoa inapangwa ifungwe saa ngapi, Wanzibar hawafungi tu ndoa bila kuangalia nyota
 
kuna jamaa nimesoma Naye mpwapwa secondary 2001 - 2004 anaitwa Emmanuel Holehole alitokea Gamboshi, alinambia hakuna lolote Gamboshi anashangaa watu wanamuogopa na wengine wanaomba likizo akirud aje na dawa ya mapenzi
Mkuu uchawi usukumani ni kama secret society zinavyofanya kazi forbidden knowledge zote ndio zimepelekea secret society ndio maana unasikia vikongwe wanakatwa mapanga ukihusishwa na uchawi. Uchawi pia unavyeo/ranks wale first class/highest rank ndio wanajua mambo makubwa.
Kwa walio kulia usukumani I.e mwanza, geita, shinyanga, tabora wanaweza kuwa wameskia au kushuhudia mtu aliyekufa baadae akarejea mara nyingi wanolejea hawajakatwa ulimi ndio wanasimulia mambo ya huko japo sio wote hupelekwa huko.
Sehemu niliyo kulia ilikuwa kawaida kusikia milio ya treni ikihusishwa na gamboshi.
Gamboshi ni kama taifa kule utaambiwa kuna wanasiasa wakubwa e.g Nyerere, kuna wachumi wakubwa I.e lipumba, kuna wanasayansi, walimu, shule, hospitali nk.
Nikawaida usukumani mme kuishi na mwanamke mchawi lakini asijue, usiku analala na fisi mkewe anaenda vilingeni.
Uchawi una operate kama secret society kwa sababu ya kuwakat mapanga na mara nyingi hata familia yenye uchawi unakuta anayejua ni mama na binti yake kwa sababu ndiye atakaye mrithisha na hao wengine ni ngazi ya kupanda daraja atakapo watoa kafara.
Kuna baadhi ya vijiji huko usukumani hukuti mzee(above 60) ni wabibi tu na vijana.
Ukiwa hauna kipaji unaenda kufanya manual work ndio hao wanaokatwa ulimi.
Lastly Gamboshi kwa wachawi ni kama sehemu takatifu mostly wa wale wanaoenda huko ni wenye loyalty ya highest order kwa hiyo sio rahisi kukwambia habari za huko.
Kuna padre mmoja alikuwa paroko mwadui father Deo alikuwa anafanya research yake kuhusu hayo mambo ya uchawi usukumani nadhani aliandika kitabu sijajua kama alikiweka public.
 
kuna jamaa nimesoma Naye mpwapwa secondary 2001 - 2004 anaitwa Emmanuel Holehole alitokea Gamboshi, alinambia hakuna lolote Gamboshi anashangaa watu wanamuogopa na wengine wanaomba likizo akirud aje na dawa ya mapenzi
Na kuongelea uchawi usukamani ni kama uende Rwanda umuongelee vibaya kagame au uwaulize wananchi kama kagame ni dikteta.
Au uwaambie chawa wa mama sa100 haupigi mwingi
 
Kuna jamaa yangu Mpemba mmoja hivi ana daladala(Nissan Civilian)zake kibao mjini, ana duka la simu pale Aggrey na pia ana Bakery maeneo ya Ilala Bungoni. Yeye tabia yake huwa analaza PESA chooni wiki moja kabla kwa ajili ya kuwalipa mshahara wafanyakazi wake.
 
Aisee[emoji15]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kazingua sana.alitakiwa akaze
Mbona hadi watu wanavaa mapete mia mia vidolen.kwaza haikua na jiwe hio ? Iweje alete wivu.
 
@Demi
 
Kazingua sana.alitakiwa akaze
Mbona hadi watu wanavaa mapete mia mia vidolen.kwaza haikua na jiwe hio ? Iweje alete wivu.
Ndio basi tena majuto mjukuu ila aisee the devil is real. Kule kusahau sahau ni kazi ya devil, napata mashaka kuwa master alikuwa target yao ila walianza kwa kumzubaisha na mambo ya usimamizi ili ajae kwenye 18 alipuliwe. Unakumbuka ile statement ya mpemba kuwa master ana nyota nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…