Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mungu ambariki Rehema.
 
Master mzushi sana, mwanaume ambae anaharibu maisha yake kisa mwanamke namdharau sana na kumuona snitch.. anafaa kuuwawa kabisa.. Ningekuwa Ally Mpemba nisinge subiri majini yamshughulike master, ningemuua kwa mkono wangu
 

Dark world for dark people choon anahifandh wapi na watu hawaiingii au
 
Huko namanyere nakufahamu sana,

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Dah aisee Ally mpemba mwanga nini Asa anajuaje kama Master keshaharibu?[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
yani tumetoka kote uko kumbe sababu ni Rehema ... nmekua disappointed sana
mi nilidhani sijui ulikumbwa na balaa gani, kumhe demu ndo kakulostisha Daaah!! yani matukio yote uliopiga umeangukia pua kisa Rehema... aah umezingua sana .... Bora ingekua unatakiwa kumtoa bi Mkubwa hapo ningesapoti yani Demu mwanangu Demuuu aah nmeumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…