Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Shonaa
 
Huyu jamaa story yake ilikuwa nzuri alihangaika sana kuupata utajiri
Naona kama uandishi wa Lwanda magere na Master Umughaka unaendana.

Ila Lwanda alijua kutaabika aisee
Akaenda Kigoma,akaenda Kongo
Mara akazama ziwani Tanganyika
Yaani heka heka kama zoote

Bado tego zake barabarani za kuangusha magari,.mara Mbeya,mara Mbozi,mara Tukuyu.

Hii stori ya Umughaka imenivutia na nimeweza kusoma.
Ni stori yangu ya pili kuifuatilia.
Ya kwanza ni ya huyo Magere.

Mimi si mzuri sana kwenye kusoma soma hadithi.
Hadi nimesoma basi waandishi wapo vizuri.

Salute kwako mwamba UMUGHAKA .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanana uandishi tofauti ni walivyo hangaika maana magere alienda hadi kuzimu kuchukuwa nguvu za ajabu ile story ni balaa
 
Mkuu Saint Anne nashukuru kwa appreciation.

Japo mimi ni mimi na huyo Magere ni Magere.
 
Wako vizuri na ukumbuke tu kwamba wote hao ni Kanda maalum TARIME - RORYA
 
Mkuu Saint Anne nashukuru kwa appreciation.

Japo mimi ni mimi na huyo Magere ni Magere.
Ila wote mna uandishi Fulani ambao hata mtu mvivu wa kusoma atatamani kusoma

Na avatar zinaendana ndio maana nawafananisha.
Japo jamaa hakumaliza stori kwa kushindwa kuhandle presha ya wasomaji vichomi.

Haya Mkuu,tuendelee na episode.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…