Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Uyo mdau @lwandamagele nakumbuka anao uzi kabisa anaelezea story ya maisha yake kule entertainment lakini haikuisha ilifika ep ya 50.

Uko mpaka anaambiwa amtoe mkewe kafara haikifikia. Sasa sijui mwendelezo naupata wapi huu mkuu

Tafadhari.
Hujanitag kamanda incharge
 
Uko vizuri
 
KUNA MTU ALIWAHI KUSEMA HAPA KWENYE HUU UZI "UMUGHAKA HANA AKILI NDIO MAANA BABA YAKE ALIMFUKUZA NYUMBANI" NAONA HII NI KWELI MAANA ALLY NAE KAMWAMBIA HIVYO HIVYO.

Kama wewe unaungana na mchawi Ally basi nawe huna akili. Inaona kuroga ni sahihi?
 
baby zu 25
 
baby zu 26
 
Huyo Ally bila kupepesa macho alikuwa anatumia nyota yako sasa wewe kukosea masharti unamharibia [emoji3][emoji3][emoji3] ila nawaza kwa sauti, lakini shetani hajawahi kuwa rafiki wa binadamu hufanya unafiki tu. Haya zilete habari za S'wanga.
 
Akili yako ndogo... kuna mmoja namfahamu humuhumu jf ni chotara wa kizungu kwa babu yake,so uzungu ni kwa mbali ila unaonekana. Hakuna dem unaemjua anaemkaribia kwa uzuri. Grow up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…