Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

UMUGHAKA umeamua kumchomea kunguni ally mpemba 🤣🤣
 
Kwenye huu uzi kwa mara ya kwanza nimeshuhudia mambo mengi sana:-
1. Kuna wanaume wana wivu hadi kwa wanaume wanzao..
2. Kuna watu ni wajuaji wa kipumbavu kabisa...
3. Kwa mara ya kwanza nilikua nawahesabu warahabu/kiu ya simulizi...
4. Minyukano pia ilikua sio haba....
5. Kuna dogo mmoja alikua anataka kuazimisha umaarufu kupitia simulizi hii..
6. Mods wengi walikua wanafuatilia hii simulizi ya tata mulisya...
7. Ila huyu baba ametukanwa jamani...🤣 lakini alikomaa mpaka akamaliza simulizi na kufikia malengo yake.
 
Hatari sana mkubwa
 
Tunashukuru kwa kutenga muda wako wa kutuburudisha na kutuelimisha, ingawa ilifika kipindi members wakawa wana arostle mpaka kufikia wanakutukana lakini hukukata tamaa, kwani kusudio lako ilikuwa ni kutuonyesha Dunia Iko vipi na watu wanaishi vipi ktk hii Sayari, yaani kwamba usione watu wanafanya matanuzi ya kufa mtu kumbe hela zao ni zakumwaga damu za watu, Iko wazi
 
Hapo mandhari ya Mganga kama Nakuona, Nishawahi kwenda akwa mganga wa Aina hio ukifika anakwambia Kaa tulia anacheza na Tumawe pale baada ya jukuuliza jina lako na kuandika andika kiarabu kisha anakuambia yaliyokupeleka........ Kufupisha comment, niliyoambiwa na mganga kweli yananisibu, kuhusu kuyatatua naona iko 50/50 sometimes yes sometimes no.


Huu ulimwengu ni wa kujaribu kila lililo lenye kheri maadam humdhuru mtu unajipambania mwenyewe.
 
Jamaa bado atakuwa nae ndani anamtunza
Na je tangu uende kwa yule Shekh, ukaenda sumbawanga.... "Utakufa kifo kibaya sana wewe" hii ilikuwa SMS ya Ally Mpemba, vipi hakukutafuta tena tangu zile pilika za kujinasua ulizokuwa nazo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…