Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Na je tangu uende kwa yule Shekh, ukaenda sumbawanga.... "Utakufa kifo kibaya sana wewe" hii ilikuwa SMS ya Ally Mpemba, vipi hakukutafuta tena tangu zile pilika za kujinasua ulizokuwa nazo??
Hakuweza kunitafuta kwasababu sikuwa na koneksheni nae,kumbuka koneksheni ilikuwa ni bangiri na ile Pete!
 
Hakuweza kunitafuta kwasababu sikuwa na koneksheni nae,kumbuka koneksheni ilikuwa ni bangiri na ile Pete!
Itabidi utafute siku umueleze Rehema hizi habari maana kuna namna anawaza kuhusu pesa zako ulizokuwa nazo na sasa hauna, mwambie pia alitakiwa afe ili uwe tajiri ila kwa upendo ukashindwa kumuua, mueleze kuhusu zile chupi, mueleze kuhusu kukaa siti ya mbele, mueleze kuhusu pete pia.
 
Kwanza pole na hongera kwa kupambana na life, Man wewe ni kidume haswa, anyway shukran kwa simulizi pia mzee be blessed
 
Mkuu hongera sana kwa simulizi zako wewe ni muandishi mzuri hakika

Lakini ningependa kuuliza vipi Aunt Farah ulifanikiwaga kumuona au

Na je ulikuja kugundua ni nini sababu iliyofanya udhani unaonana na Aunt Farah ilihali yeye anasema hamjaonana
 
Saint Anne National Anthem valentine Labani og Mafian cartel huku kwetu moneytalk Lovelovie Joannah leadermoe sakwano iPhone 6 story imefika mwisho hukuuuu!!
 
Aisee tunashukuru kwa stori nzurii hakika umetupa funzo na burudani kwa wakati mmoja[emoji120]
Ila umepitia mengi aise na ujasiri unao...mie nisingeweza kurudi kuishi huko mpk miaka ipite[emoji23]
 
Mkuu hongera sana kwa simulizi zako wewe ni muandishi mzuri hakika

Lakini ningependa kuuliza vipi Aunt Farah ulifanikiwaga kumuona au

Na je ulikuja kugundua ni nini sababu iliyofanya udhani unaonana na Aunt Farah ilihali yeye anasema hamjaonana
Alikuwa jini ambaye Ally Mpemba alikuwa akimtumia kwenye shughuli zake mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…