Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Stori ya dunia
 
Kariakoo panatisha aisee kumbe kuna maduka tunahudumiwa na majini lol[emoji3]
 
Asante kwa Hadithi nzuri na yenye kufunza baadhi pia.
 
halafu alishaachana na mkewe, Kuna tetesi anakula bintiye!
Hii ya kula bintiye, hata tajiri mmoja maarufu Iringa mjini, anamiliki Hardware na alikuwa na mabasi ya abiria kwenda mikoani kutokea Iringa inasemekana ni moja ya sharti lake. Inasemwa anamla bintiye mkubwa.

maana mwenyewe k.koo nazungukaga tu napokutana na msosi hapo hapo.
Kariakoo aisee panatisha kwa uchawi. Mimi huwa napenda kula pale karibu na DDC, kuna dada anauza misosi kwenye kirikuu, yeye na mumewe na wafanyakazi wao kama 4 hivi. Dada anapakua misosi na mume anatoa chenji, wafanyakazi wanaweka michuzi au maharage, misosi ni mitamu sana. Kuna jamaa yangu anasemaga nimelogezewa kula pale maana sipahami na ukienda unakuta full foleni, watu wanagombaniana misosi.
 
Hongera sana mleta mada kwa uzi mzuri sana.

NOTE KWA MEMBERS:

1 Be open minded, sio kila mvaa bangili na mapete makubwa ni ya kishirikina. Wengine wanavaa kama pambo, wengine kama kinga dhidi ya nguvu hasi hasa bangili za shaba.

2. Kwa hustlers wenzangu wote, hii simulizi isitukatishe tamaa. ukipata KILAINISHI katika utafutaji wako kishikilie sana na usizingue kwa sababu yoyote, iwe ya kimapenzi, dini, woga etc. Hela ibabidi itafutwe kwa namna yoyote ILIMRADI HAUMDHURU MTU.
 
Kulainisha mambo ni muhimu Kuna sometimes mambo ni magumu mno!!!

Tusihofie kitu kwenye utafutaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…