Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Kuna mwanamke wa kikurya aliwah kumuuma kijana mmoja mkono mpaka akamtoa damu baada ya kumkuta kijana yule kakaa kwenye siti yake na alipomuomba kumpisha kijana alikataa na kusema kuwa kakatiwa hyo siti na konda hvyo ni yake na hawez kutoka

Baada ya lile tukio ilibidi yule mama atafutiwe siti na akaanza kujitapa kwa kusema kuwa haogopi mtu ameshazoea kupigwa na mume wake mpaka anazimia na akizinduka wanaendelea na ugomvi
 
hao ni shida,majina yao ni roby,gati,wankulu,,niliwahi fanya kazi mgodi wa nyamongo,tulipewa utaratibu kuwa tutembee kuanzia 3,na mwisho kurudi camp ni saa 3 usiku,kuna mfanyakazi mzungu wa exploration,kutoka australia,asubuhi tulikuta kauwawa na wakulya,tuliogopa sana,ingawa wanawake wao waliwapenda sana wafanyakazi,,,akisema,NTAKUGECHA MURA,kimbia kama upepo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…