Noma sanaAliambiwa kuwa hela unazo nyuma. Alarm ikalia mie
Hadi suruali ilikua ya kaki 😄,,umetisha mkuuMkuu ilo shati linafanana la UMUGHAKA kipindi anapokelewa pale ubungo plaza[emoji23]
Ndo maana tangu jana nmekutafuta kila page ya huu uzi sijakuonaSina hamu yani naweweseka tu bado naliona lilr dude
Yan ule mdude umenishughulisha hadi usiku nkienda washroom nahis kama yupoNdo maana tangu jana nmekutafuta kila page ya huu uzi sijakuona
Haha😂 Kwahiyo hata kijiko kikianguka unakimbiaYan ule mdude umenishughulisha hadi usiku nkienda washroom nahis kama yupo
Mawenge kibao, kama mtu yupo nyuma yangu vile😂😂😂Haha😂 Kwahiyo hata kijiko kikianguka unakimbia
Dah pole sana mi nlijua labda imekusumbua dakika chache tu kumbe ilikuharibia siku kabisaMawenge kibao, kama mtu yupo nyuma yangu vile😂😂😂
Nina shida ya uoga tu yani imekua sehemu ya maisha yangu uogaDah pole sana mi nlijua labda imekusumbua dakika chache tu kumbe ilikuharibia siku kabisa
Safi kabisa agiza beer nakuja kulipa mkuuAnaropoka na kujidai mjuaji, watu tunabeba mpaka m 100 kupeleka bank yeye anashangaa m 40! Ujuaji ukizidi unabadilika kuwa upumbavu!
FB au instagram unaweza kupata sio JF.Huyu boya anawapanga tu na story zake za kutunga. Ashawaona manaofatilia sana story zake wote mafwala. Ndo maana anawapqnha muda mrefu bila kuweka muendelezo aonr reaction ipo vp
Wewe mwanamke atakayekuoa,atakuwa kaoa matatizoHuyu boya anawapanga tu na story zake za kutunga. Ashawaona manaofatilia sana story zake wote mafwala. Ndo maana anawapqnha muda mrefu bila kuweka muendelezo aonr reaction ipo vp
We ndo fala,sisi kufuatilia story za kutunga we kinakuuma nini ndg?watu wengine sijui huwa mkoje[emoji1745]Huyu boya anawapanga tu na story zake za kutunga. Ashawaona manaofatilia sana story zake wote mafwala. Ndo maana anawapqnha muda mrefu bila kuweka muendelezo aonr reaction ipo vp
Mkuu hao ni mashoga wanatafuta wanaume potezea japo inakeraWe ndo fala,sisi kufuatilia story za kutunga we kinakuuma nini ndg?watu wengine sijui huwa mkoje[emoji1745]
Sawa mkuu hawa wakupuuzia tu[emoji119]Mkuu hao ni mashoga wanatafuta wanaume potezea japo inakera
Sawa ila wanakera sana tuwavumilie tuSawa mkuu hawa wakupuuzia tu[emoji119]