Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Hello!.

Hope mko poa.

Ndugu zangu wa mkoa wa Mbeya,nimeingia usiku huu hapa Mbeya na nitakuwa hapa kwa siku kadhaa,hivyo kwa atakaye taka kuonana na mimi ani-pm ili tufahamiane.

Jumapili nategemea kwenda Gereza la Ruanda kumuona na kumsalimia Mshikaji wangu Gabriel (Gabi).Huu umekuwa utamaduni wangu kila mwanzo wa mwaka kuja kumjulia hali jamaa yangu aliyehukumiwa miaka 30.

Nawapenda sana!.
 

Anamaliza kifungo mwaka gani Tata?
 
Poapoa mkuu,huo ndio utu kaka.
 
Wanakuja, tuendelee na ep inayofata

Pole kwa uchovu wa safari lakin
 
Hivi alikosa Nini?
 
Gabi mwamba sn,msalimie sana mkuu[emoji123]
 
Kumbe hii issue ya gabi ipo kweli, akitoka na yeye umpe bodaboda asije akarudia hizo mambo.
 
Pm zimefungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…