Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

Mkuu UMUGHAKA kama kweli hivi visa unavyovisimulia in vya kweli basi naweza kuitimisha kwa kusema hujui kabisa kuzitumia akili ulizopewa na mwenyezi Mungu

Tukianzia kule kwa Monica ulikopakwa pakwa na kuchanjwa chanjwa na wachawi,tuje kule kwa akina Jipe ulikoamua kuwa jambazi eti kwa sababu rafiki yako Mutatiro alikubali.Tuje hapa kwenye hiki kisa chako cha kumuamini shetani ambako ulikabidhiwa kazi ya kufungua na kufunga chumba usichojua kimehifadhi kitu gani nawe ukakubali tu kama likondoo tena ukaambiwa uwe unalala kwenye gari nje bado hukuinusa hatari

Tuje hapa unaposema ulipelekwa kwa mganga huko Unguja bila kujua unakwenda fanya nini na wewe ukaenda kimya kimya bila hata kumuaga msela wako Steve

Kwa kutumia tu hayo matukio yako machache uliyoyaweka hadharani mpaka sasa naweza kusema ulikuwa na haki zote kupata zero advance na baba yako alikuwa na haki zote kukutimua nyumbani kwake uende ukaibiwe million 9 zako za ujambazi na mlevi Kiheri
 
Kwenye story zake kuhusu stive sijui ni mimi lakini ukweli sikuona popote ambapo stive alikuwa ni rafiki sana mpaka kumshirikisha mambo yake binafsi...zaidi stive ndo alikuwa anaomba ushauri kwa huyu.

Huku mtaani ninako ishi wapo walokuwa wakifanya vizuri darasani lakini kimtaani, mtaa unawachakaza na kinyume chake..... Maisha hayana formula.
 
Mpaka hapa unatumika kumnufaisha mpemba...huna chako hapo.
Hili likurya lijinga sana halina akili hata kidogo litakuja kufa kifo cha kijinga sana, baba yake aliona mbali sana kulitimua nyumbani lingemuharibia watoto wake na hizo akili zake za kuuza pesa feki & kupiga debe sirari.

Bangi zimeliharibu sana ubongo na humo kwenye uboda boda litakachotoamo ni ulemavu wa mwili maana akili tayari halina
 
Jamaa soma na yaachie hapahapa usiyachunguze saaaaaaaana, maana hatujibii mtihani wa psychology au intelligence 😎
 
Kinachokusumbua ni chuki pamoja na udini
 
Kweli we ni Chizi Maarifa[emoji23]
 

Wanyakyusa hawanaga Jambo dogo[emoji23]
 
Nakuusia kijana mkakati wa kuchafua wapemba utakuletea shida. Maana naona hili unalichukulia poa. Wewe Kiarabu unakifahamu?

Ulijuaje kuwa aliongea kiarabu? Hizi ni fitna na propaganda chafu sana.
 
Wewe ni mpemba?
Ametupa utamu umekolea kachomoaaaaa😎😎😎!
Noma sana
Mvumilie tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…