Utajiri wa Waarabu wa Tanzania

ha! ha! ha! nchi hii kwa roho mbaya ! ndio mana mungu hawabariki kuwapa viongozi bora mtakua masikini mpaka mwisho wa siku!
 
Behind every success there is crime monsieur/mademoiselle......
 
we mtoa mada hebu weka hapo bwana Mengi kapata pesa zake vipi? usichagua baadhi ya watu akaacha wengine kuwa muwazi
 
Bakharesa hana pesa huo ni mradi wa serikali kupitia huyo jamaa hebu fungukeni wa Tz mbona Dar live ya ridhi one na lake oil
 
Mimi naona utajiri wa Mengi ni halali kabisa na ni baraka amepewa na Mwenyezi Mungu kwa jinsi anavyosaidia wengine kama vile wagonjwa wa aina mbalimbali,vikundi vya vijana,akina mama ,wlemavu na wengineo wengi tu.Hawa waarabu siyo rahisi kufanya hivyo ,na kama wakifanya wanafanya kwa manufaa binafsi.Sijawahisikia Bahresa au Rostam ameandaa sherehe akala na watu wenye ulemavu ,au amesafirisha mgonjwa wa moyo kwenda India labda mniambie wadau.
 

Dogo kama hujui nyamaza!nyambav....
 
Haina ubishi waarabu walikuja tanzania kwa shughuli kubwa za uwindaji na ndio maana wengi wao waliishi maporini na ni waanzilishi wa vijiji vingi sana hapa tz,na kama sikosei kipindi hicho walifanya biashara hiyo kwa uhalali kabisa,na mara ilivyopigwa marufuku walibadili biashara na kufungua mashine za kusaga, maduka vijijini, kumiliki mashamba na magari ya kusafirisha abiria kutoka vijijini kwenda mjini,huo ndio ukawa mwanzo wa mafanikio yao wengi wa matajiri wa kiarabu unaowaona sasa hivi.
Na wengi wa viongozi wenye asii ya kiarabu ukifatilia kwa umakini utaona wamechaguliwa kutokana na misaada yao kwa jamii zinazowazunguka na kulazimishwa na wananchi wenyewe kugombea.
NAONA MUONO WAKO SI SAHIHI FANYA UTAFITI TENA NA ONDOA CHUKI KWANZA KWANI HAZIKUSAIDII KABISA KATIKA KUPOTOSHA UKWELI.
 

Kama walifanya hivyo na unajua kwa nini usitoe taarifa? Acha chuki kwa wenzetu wanaojitahidi kutoa huduma na wanalipa kodi ambayo inaleta maendeleo. Hata fungu la kumi wanatoa kubwa.
 



Kwa nini wasomi wengi wa Tanzania hawafanyi biashara!!!


Umewaza Kwa Sauti Kama mimi vile.. Ila mwenzako nimeshashtukia mishahara ya graduate kuwa Na take home 260,000 Hapana ... No !! Nimeshakimbia aisee
 
'utajiri wa waarabu wa Tanzania'...ni waarabu wote waishio TZ au ni aje?
 

Tatizo co kusoma ila ni mtaji! Umemaliza xul let say university wazaz ulikuwa unawasaidia kwa boom lako, what wil b nxt f nt whte collar jobs! There is an Indian sayng politicians lead, busines pple rule and employd pple r servants! T z a system nt only in tz bt worldwide. Dnt pray 4 succes bt opportunity to succeed! Wish u all da best!
 

Mjasiriamali hakwazwi na mtaji,anaweza kutumia chochote kinachomzunguka,kuna jamaa mmoja aliweka thread hapa kuhusu mitaji,jaribu kupitia mkuu,nadhani ni Awadi kama sikosei.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Uhakiki pia unahitajika na huku sio kwa Walala haoi tu pekee...
 
ubaguzi wa mtu mweusi ni hatari ya ubaguzi wote
Sasa kama watu wanatambua wewe ni jangili hutaki waongee?? ndio unakimbilia au weusi wabaguzi... Ndio trick ya kukwepa ukweli kusingizia unaonewa muhahaha kama ipo ipo tu
 
Bila shaka ulipokua unaandka uzi huu ulikua maskani umekaa kwa kukosa cha kufanya.....ckulaum sana coz umechangamsha akil kidogo na accusation zako za kijiweni.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…