Utajiri wa Wahandisi (Engineers) na Madaktari (Doctors)

Utajiri wa Wahandisi (Engineers) na Madaktari (Doctors)

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,301
Reaction score
8,706
Ni kweli daktari ni mtu anayelipwa mshahara mkubwa na serikali au hata sekta Binafsi!

Engineers hawalipwi hela nyingi kama daktari....swali linakuja je kwanini sasa wahandisi wengi ni matajiri ukilinganisha na madaktari?
 
Kazi ya udaktari is almost impossible bila engineering.....vice versa is true.
 
Tupe source ya huo utafiti wako,ulifanyika lini na wapi kwa sababu hiyo conclusion yako inaweza kuwa ya kichochezi
 
Back
Top Bottom