Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
kusema kweli mie hali ya nchi yetu inanichanganya akili sana.kinachonichanganya akili ni mwisho wake je hali ya maisha itakuwaje?Ikiwa na maana kuwa na milioni moja ya Kitanzania ni Umasikini uliokitthiri au ni Utajiri uchwara?
kusema kweli mie hali ya nchi yetu inanichanganya akili sana.kinachonichanganya akili ni mwisho wake je hali ya maisha itakuwaje?
tuachen masiala kiwango cha hela kinachochotwa na wachache ni kingi mno kwa njia chafu.
Mungu atunusuru.
Ikiwa na maana kuwa na milioni moja ya Kitanzania ni Umasikini uliokitthiri au ni Utajiri uchwara?