Utajisikiaje, Mchungaji wako au mwanasheria wako, akimuoa au akiolewa na Mtalaka wako?

Umenikumbusha huku niliko.

Jamaa Mmoja mwenye wake wawili, akawankila Mara analumbana na Mke Mdogo.

Ugumvi ukafika Kwa sheikh.

Sheikh akawa anamchochea jamaa, muachee ,muacheee ,muachee hatimaye jamaa akatoa Talaka tatu.


Haikupita miezi miwili, Sheikh akamuoa huyo Mwanamke .

Na sheikh bado anaswalisha, ila kama amekataa katakakata kuswali tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…