Utajisikiaje upoambiwa?

Anaokuambiwa ni wale aliowakatalia, aliowakubalia hatakuambia hata siku moja...........
 
Mwanamke anaweza kusema nimetongozwa, mwanaume utakuwa na carege ya kumwambia mkeo umemtokea demu kweli!!! i dont think.
 
Mwanamke anaweza kusema nimetongozwa, mwanaume utakuwa na carege ya kumwambia mkeo umemtokea demu kweli!!! i dont think.

nitamwambia nilikuwa nakumbushia kama bado nakumbuka kutongoza
 

...kwa peace of mind na 'my sanity', acha tu nisijue.

...wengine huhadithia huku wakichekelea hivyo kukuachia maswali zaidi kuliko majibu.
 
Usitaraji kukwambia ukweli wake wote atakwambia aliyemtolea nje tu kwa aliyejiachia naye katu hakwambii hata siku moja. Akitongozwa na anayekujua jua kuwa anajua mapito yake ndoo maana anakwambia ili umchukie asije kukuletea umbea na pengine ni nduguyo wa karibu. Ili yee aendelee kumegwa.LAKINI NAWAAMBIA ACHENI KUOA NDOA ZA KILEO HAZINA UADILIFU ACHENI KUICHUGA MIILI ISO YENU. Mke mume kila mtu ana mwili wake na ataamua autumie vipi na kwa sababu gani.NDOA ZA KISASA UAMINIFU KWISHNEEE!!!! MSINITIE HASIRA NA NDOA ZENU FAMBA NAPATA KICHEFUCHEFU kwa sana tu wana
 

Ngala umeongea kwa hasira utafikiri Jeni hapa, upo sahihi siku hz kuoana ni kama fashion tu. Kusema ukweli mie katongoza au katongozwa bora mkae kimya tu mwisho wake ndio yale yale mnanyatiana simu zenu za vinganajani mara ndundi ahh ya nini yote hayo
 
Sasa we fikiria umenunua tiketi kwenda kutazama world cup kule South Afrika na umejitahidi ku-serve ili mkafaidi mpira na mwenzi wako then siku ya siku unaambiwa John Terry kanitongoza patakalika hapo?
 
Sasa we fikiria umenunua tiketi kwenda kutazama world cup kule South Afrika na umejitahidi ku-serve ili mkafaidi mpira na mwenzi wako then siku ya siku unaambiwa John Terry kanitongoza patakalika hapo?
Hapo hapatakalika na kama mimi ningekuwa TFF wa dunia ningefutilia mbali magoli ya huyo jamaa yoteee.........
 
MMh imekaa uzuri!

Nazidi kukazia its not healthy na iliyo mara nyingi hata kumbia! Naungana na wanaosema ni dalili mojawapo ya kutokuwa mwaminifu! kwa sababu yeye kuambiwa hivyo na wanaume wengine ni kitu ambacho lazima kimtokee! tena ukiona ana hiyo tabia mkemee hapo hapo; Nadhani ni dalili ya kuficha maovu anayoyafanya huko nje! Wala usivimbe kichwa kwamba yeye ni bingwa wa kuwachomolea nje! Inaweza kuwa kinyume chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…